Wanawake na wanaume wenye magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake na wanaume wenye magari

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by I-NGOSHA, Dec 18, 2011.

 1. I-NGOSHA

  I-NGOSHA Senior Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Asilimia kubwa ya wanawake wanawaza kuwa na wanaume wenye fedha nyingi, magari mazuri nakadhalika, je ni wanaume wanangapi walivyo navyo hivyo vitu na je, hao wenye navyo wanakidhi idadi ya wanawake wenye uhitaji wa wanaume wenye hivyo vitu. Mwisho wa siku mwanamke kama huyo anahitaji huyo bwana awe wake peke yake huku akiwa kasahau kuwa kampendea mali alizonazo ambapo nyuma yake kuna wanawake wengi wenye kuhitaji bwana mwenye sifa kama za bwana wake.
   
 2. Soraya

  Soraya JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Una dhani siku hizi wote wanajali tena hilo,hata kama mtu anajua wapo wengine wengi yeye ana angalia maslahi yake,vinginevyo ingekuwa hivyo sidhani kama kungekuwa hata na nyumba ndogo.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Asilimia kubwa hiyo ni kubwa kiasi gani?
   
 4. I-NGOSHA

  I-NGOSHA Senior Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Una maanisha atakuwa tayari akuone na mwingine na roho isimuume?
   
 5. I-NGOSHA

  I-NGOSHA Senior Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  kiasi kikubwa!!
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nipe kipimo.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh, mi nataka anayepika
  unajua kupika nikuunge kwente tela?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh, mi nataka anayepika
  unajua kupika nikuunge kwente tela?
   
 9. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mbona unaanza weka mikingamo tafuta uwavutie iyo asilimia unayoongelea
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  How did you measure this percentage?
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Gari ni artificial lion,
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  People get married for various reasons. Hata vijana wapo wanaotafuta wake za watu kwa ajili ya kupunguza gharama za matunzo. Plz, tunaweza kutofautisha wavulana na wanaume, na wanawake na wasichana? Kwa sababu mwanamke anaweza kuishia kuwa na gari na vitu vyake vya maana zaidi hata ya mwanaume kama ukizubaa.
   
 13. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni asilimia ngapi hizo? Na je ni wasichana au ni wanawake? Nahsi ktk utafiti wako asilimia kubwa ni wasichana wenye umri wa miaka 18 hadi 22 na weng ni wanafunz wa vyuo ndo umewafanyia utafiti.
  Unachotakiwa kujua ni kuwa wengine ni wanawake/wadada ambao hatuna fikra kama hizo tunajua maana ya ndoa ni nini, na tunafanya kazi na tuna uwezo wa kumiliki gari nzuri ya kutembelea na nyumba nzuri za kuishi
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,658
  Trophy Points: 280
  Teh,teh,teh,teh,u made ma morng kongosho!
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,658
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni wanadam ni kuwa hatukufundishwa namna ya kutatua tatizo,hasa nyie wanawake,ninaposema hivi ninamaana kuwa tatizo linapotokea huwa hamkubali kuwa ni kweli lipo na linasababishwa na globolaizesheni,mtu anaposema wanawake wa leo wanapenda hayo mambo aliyosema mtoa mada halafu wanawake wote wanakuja kupinga kisa wao ni wanawake mnakua mnaongeza tatizo badala ya kutafuta tiba,ni sawa na watu wanapiga kelele kuwalaumu waingereza kwa kutulazimisha kuhalalisha ushoga kisheria wakati mtaani kwake wamejaa na amekubali kwani amekaa kimya!
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hakuna anayepinga kwa sababu ni mwanamke, utafiti mnaoufanyia kwa wasichana na wanafunzi wa vyuo ndo mnakuja kuconclude kuwa ni wanawake wengi?? Btw, mwenzako akinyolewa.....................?????
   
 17. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  98% :lol:
   
 18. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kuna dada mmoja anasoma chuo kikuu 2po nae mtaa mmoja kwa yeye kama huna gari hana tym na ww kwa sasa anao kama watatu na wte wana magari.
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wewe mpishi tu hoi..
   
 20. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwani hao wanavyuo wanasoma milele? Wanaingia mtaani pia. And by the way, hili suala la kubishana, wanawake wengi hapa mjini wanavutika na materialistic things!
   
Loading...