Wanaume tunaridhishwa kwa vitu vidogo...

vidogo kwa mujibu wa nani?
Halafu hivyo vidogo ni kama vipi?
Aah swali juu ya swali
 
tumeumbwa hivyo Mkuu,mi mwanamke akiniambia 'dadii ahsante yaani niko hoi magoti yamelegea,yaani dadii you are strong,kweli dadii umejaliwa.....daddiii sikujua mambo unayaweza hivi....' yaani hata kama ni urongo urongo mimi nakwisha kabisa na kesho yake nitamtupia angalau ka 'spacio'.
 
Mwanamme hadi aridhike ni siku anaingia kaburini.

Anywa unamaanisha kwenye mahusiano au maisha mengine nje ya mahusiano?
 
mimi na wanakijiji wenzangu kamwe haturidhishwi na vitu vidogo,.............nyie wa mjini labda!
 
Yes ni kweli!
Kupokewa begi ukitoka kazini,
kupewa pole nyiiingi,
Kuna mwimbaji mmoja alisema Dawa ya ndoa ni maneno Nisamehe, Nakupenda, na Asante!
 
Yes ni kweli!
Kupokewa begi ukitoka kazini,
kupewa pole nyiiingi,
Kuna mwimbaji mmoja alisema Dawa ya ndoa ni maneno Nisamehe, Nakupenda, na Asante!

nisamehe....nakupenda.....asante.....noted that....
 
Ni kweli kabisaaa Mzee, unajua vijiridhiko vidovidogo hua havichukui muda mrefu kuvipata yaani kutoka karidhiko kamoja hadi kangine.
Ndiyo kusema ukivipata vijiridhiko vitano kwa siku ni sawa na ridhiko moja kubwa! . Kwani kupata ridhiko moja kubwa kwa kila siku au kwa kila baada ya masaa kamwe hua si vyepesi.
 
Ndo maana nikauliza kwenye mahusiano ya kimapenzi?
Kwenye mahusiano ya kimapenzi ni kucheza na EGO ya mwanamme umemaliza
Mfanye ajione yuko juu kwa kila kitu basi

Ila kwenye mambo mengine mwanamme haridhiki, sijui pesa, power na nini nini
Hapo Kongosho umekosea, nadhani vaisi vesa iz truu
 
Mwanaume anataka MWANAMKE full stop!Kama kuna anaehitaji ufafanuzi aseme!
 
Ingekuwa ziko mkononi kama njugu ningeomba mechi ya majaribio
Ile hati ya nyumba ya Nkasi nakuambia ungenipa within no minute

Vichwa vinakuwa vikubwa kama vya scania lisilo na tela

mmmmmmmmh!...sio kwa wote_usije leta hizo kwa watu kama sisi halafu ukashangaa unarudi patupu,...........take it!
 
hivi hii kweli hii sentensi ya kweli au miye nimefikiria tu.. ?
kubebwa mgongoni kwenda bafuni,kuogeshwa,kulishwa,kukubali kila anachosema hata kama ni upupu,kumuacha awe free usiguse simu,akichelewa usiulize alikuwa wapi, na alikuwa na nani,mpe pwd na atm card yako. Yaani uwe silent
 
kubebwa mgongoni kwenda bafuni,kuogeshwa,kulishwa,kukubali kila anachosema hata kama ni upupu,kumuacha awe free usiguse simu,akichelewa usiulize alikuwa wapi, na alikuwa na nani,mpe pwd na atm card yako. Yaani uwe silent

:juggle: :juggle::juggle:
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom