Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

...wanawake walioolewa lakini wanakuwa deprived of sex wanakuwa na hasira sana especially kwa wanaume? Na ni kweli pia kuwa mwanamke ambae yupo "hopelessly in love" na mwanaume ambae haonyeshi...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
JF Senior Expert Member Posts 15,897 Thanks : 239 Thanked 1,394 Times in 767 Posts Rep Power56 Hii ni to a frequent poster on JF nimemmiss sana siku ya leo. Akiona atajua
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna tofauti gani kati ya NGONO na MAPENZI?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja nimetokea kumpenda sana ana miaka 29 sawa na umri wangu,katika kumfuatilia akaniambia ana jamaa yake yuko nje anasoma,ukweli mie sikuamini sababu tangu nimfahamu huyu dada kama...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Heri ya x mass wakuu.
1 Reactions
29 Replies
2K Views
The girl whom i love so much refused me when i was 16 yrs old. Now she's coming to me with 2 babies so what can i do?
0 Reactions
51 Replies
3K Views
Kwa wakati tulionao zama hizi huwezi tembea hatua kadhaa iwe hujakutana na Mwanamke alievaa nguo inayoonyesha robo 3 ya matiti !. Mabarabarani, Maofisini, Vilabuni, Kumbini N.k. Nianze kwa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
nimesikia mara nyingi sana sisi wanaume tunapotaka kuchagua mwanamke wa kuoa tunadai mke material.....nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hili ,wadau naomba mnipe somo hapa. hivi huyu mke...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Heshma kwenu woote na Merry xmass to u Nimekaa mahali na makabila mchanganyiko tunapata mambo yetu yalee... Tuna wachaga pia hapa wakiwemo wa Uru Huyu mchaga wa Uru imemuwia vigumu sana...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
haijalishi unampenda mke wako kiasi gani kuna vitu unaweza kumsaidia na kuna vitu huwezi kumsaidia kwa mfano huwezi kumsaidia mke wako kubeba mimba hata kama unampenda sana - by Kamanda Lema
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid. Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Habari toka ndani ya mji Monduli ni kwamba Mbunge wa Wilaya ya Monduli amefiwa na mdogo wake wa kuzaliwa. Na bila shaka ni hbr nzito kwani kifo jamani ni janga kubwa kwa kila awaye yote,Habari hii...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF Habari za masiku. Kuna binti mmoja rafiki yangu ( msinishambulie sio mpenzi wangu ni rafiki tu basi) amekwisha mpata wake na wameamua kuishi pamoja. Binti ni muislamu na kijana mkatoliki...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
this post was deleted by eliah kamwela Jamani,kwa wale vijana ambao hawajaoa bado,nawatahadharisha juu ya kuoa mabinti kutoka vyuo vikuu(wasomi). Kwa uchunguzi nilio fanya wadada wengi{si wote}...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
ncheki kwenye line kama una amini una vigezo(0752-29 16 06)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wam jf!naomba kuuliza hv toka mtu apeleke posa kwa kawaida inachukua muda gani hadi ajibiwe?
0 Reactions
29 Replies
11K Views
habari! jaman wanandugu mie nilikuwa na boyfrnd wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao na mwakan ilikuwa tufunge ndoa, sasa kuna siku tulikorofishana nikamjibu hovyo sana later nikamwomba...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Imefikia mahali tuanze kuzungumzia tabia za watu zinapotokea ili kama unaamua kufanya jambo au kuanzisha uhusiano ujue unachofanya.Maana malalamiko yamezidi kila siku huyu kamtenda huyu mara sijui...
1 Reactions
103 Replies
8K Views
Hivi karibuni nimesoma utafiti katika makabrasha yangu kuhusiana na maradhi mbalimbali yanayowakabili wanawake walioko kwenye ndoa au uhusiano wenye mashaka. Tafiti zinaonyesha kwamba, wanawake...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Haya wapendwa nawaletea kisa kingine. Kuna mwanamke mmoja mtu mzima, alinifuata nimsaidie kumshauri mpenzi wake aliyenaye angalau akubali kuzaa nae hasa baada ya kukataa kumwoa! Alisema kwa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…