Binti anatambulika kwa matendo

Omugasi

Member
May 29, 2009
37
0
wengi wanachanganya kati ya binti mtulivu na asiyetulia hata chembe.Kwangu mimi binti anaweza akawa mkimya lakini limbukeni wa wanaume yaani hachagui 'size'. Lakini yupo yule mwongeaji asiye na aibu hata ya kumkatalia mwanaume usoni.. ndiye akawa binti safi.Ninachosema kusema siyo kutenda au kumaanisha.. mnaonaje wadau?
 
Back
Top Bottom