Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

. . . . kwa wote waliopoteza wapendwa wao. Crossroads - Bone thugs Krayzie: Now follow me roll stroll whether it's hell or it's heaven let's come take a visit of the people that's long...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Pombe ina nafasi gani ktk mahaba...?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
1. When a ship sinks, women (and children) get off first. 2. A woman can hug her best friend without worrying she'll think she's gay. 3. Women can talk to attractive members of the opposite...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Serious natafuta room mate wakike niwe na share chumba moja na mm nipo chuo, plz kama haupo seriou usijishuhulishe na hapa.. Namba yangu ni 0755243224
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wana Jf!! Nikiwa nimetoka kanisani mwenge, nikapanda gari za ubungo kupitia chuo kwani nlikuwa naelekea campus. Nikiwa kwenye gari mbele yangu alikaa mwanaume aliyekuwa amempakata mtoto...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo asubuhi nilikua nafikiria kitu nikajikuta naangalia mahusiano na ndoa kwa namna ambayo sikuwahi kabla. Mimi na wewe ni kama vipande vya puzzle ....you've got your share and I have got...
11 Reactions
67 Replies
6K Views
Mara chache sana huwa tunathamini nafasi ya harufu zetu katika kujenga au kubomoa mahusiano kati yetu na wale tuwapendao.......Misemo ifuatayo midomoni mwetu katika jamii yaonyesha harafu ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani kuna binti mmoja wa kisukuma....................roho yangu ilimzimia sana enzi zangu zile zilipendwa....................nikashindwa kuvumilia nikamgongea hodi kuwa twende matanuzi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Unaweza ukaona kama pengine ni changamsha genge lakini hii kitu ni kweli kuna mwanaume hili jambo linamkumba kwa muda sasa. Mwanzoni sikumuamini, lakini imebidi nifike kuamini ukweli huu. Mpenzi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
mtu kama huyu anatufundisha nini ktk jamii..ama anawafundisha nini wakwe zake ama watoto wanaoudhuria harusi yake..anyway binfsi nimekuwa na maswali mengi nani kamweka hiyo tatuu na ukichungulia...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
naombeni msaada wenu wanajamii. Kuna demu hapa kitaa nampenda naye ananipenda. hivi karibuni wakati bado tunaendelea kufahamiana zaidi wakaachana na boyfriend yake lkn nashangaa nikimkaribisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Why Black Women Are So Attractive By Zeus (Web source) Growing up, I lived in the city all my life, and went to a public school. This was a blessing, because it allowed me to be around...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
wengi wameshaur ntupie sifa zangu binafsi.age angu 24 yrs,mchaga,busnesman, present location-Ta,home town-k'njaro-tarakea,ndoto yangu ni kupata girlfrend through social networks.nimeblock...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Somebody 2 luv
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu JF. Hii imetokea maeneo ya Kijitonyama Dar es Salaam Hongera Bar. Jamaa mmoja alikuwa kalewa na kuanza kuwatolea maneno ya dharau na kejeli vijana wawili waliokuwa wamekaa nae meza...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
habarini wanajf, kuna tatizo ambalo nahisi linasumbua wa2 wengi, ni hivi mnapoanza relation mpk level nyingine ni nani anatakiwa awe wa kwanza kumtamkia mwenzake kuwa wakajitambulishe au kufunga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natumai tukianzisha mapenzi ya aina hiyo tataheshimiana sana.Kwamba leo naanzisha mahusiano na wewe lakini tambua kuwa ifikapo tarehe xx/x/xxxx ujue uthamani wako kwangu umekwisha lakini kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
. hii ni kwale wanandoa wote mnaoooana leo hiii hata ufanyeje usijlinganishe na mwenzako hata siku moja ndoa nyingi zimeugua na zingine kufia hata azijafika ICU sababu ya kutaka kuishi maisha siyo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau mwenzenu nimejaaliwa kuwa na marafiki wengi sana ukiachilia mbali wale niliofahamiana nao katika maisha ya shule na nika-maintain urafiki nao, lakini bado katika mazingira ya kazi na maisha...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
  • Closed
Ndugu zangu,habari zenu. Ni matumaini yangu kuwa sote tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila siku. Ndugu yenu nimepata namasaibu yanayonitatiza na sijapata ufumbuzi. Ni hivi,nimejigundua...
2 Reactions
450 Replies
33K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…