kwa wanawake.... wenye ndoa zao.

Za kuamka Cheusi, shemeji hajambo....hapa anaongelea MAHABA...specifically....!

uko wapi ww unayesema za kuamka wkt watu tunajiandaa kulala saa hizi?mm na shemeji yako hatujambo ila tu huzun imeni

kwa vile amesema kwa wenye ndoa tu ndo maana na mm nikamwambia itaondoa aman ktk ndoa nikimaanisha kuwa kama hakuta kuwa na amani hata hayo mahaba hata kama hatayaisha kabisa lkn nafasi ya kupeana mahaba kama kipindi aman ilipokuwepo haitakuwepo.
 
Samahani nilijua ndo umeamka,mi niko kijijini kwetu, nimekuelewa sasa, wajua si tusio na ndoa topic kama hii inakuwa ngumu.

Pole na msiba, Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa,jina lake kibarikiwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom