Natafuta Room Mate wakike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Room Mate wakike

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by emilwayne, Jan 14, 2012.

 1. emilwayne

  emilwayne JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serious natafuta room mate wakike niwe na share chumba moja na mm nipo chuo, plz kama haupo seriou usijishuhulishe na hapa.. Namba yangu ni 0755243224
   
 2. T

  TUMY JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha ha ah ah aha ha ha ha h ah, Hii dunia ina mambo jamani sasa unatafuta room mate mwanachuo mwenzako ama mtu yoyote alimradi awe msichana kwa sababu kama ungekuwa unamtafuta mwanachuo ungeweka tangazo lako kwenye chuo unachosoma huko ama siku hizi kuna jamii forum university labda mie sijui, lakini kama unatafuta asiye mwanachuo mwenzako basi jaribu kuelezea vigezo vya msichana unayemtafuta, vinginevyo tangazo lako halijakamilika.sitaki kukuuliza lengo lako kwani wewe mwenyewe ndiye unayejua.
   
 3. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Hii kitu uliiweka kule jukwaa la matangazo,watu wameponda umeleta tena huku?au we ni lesbian?
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kwanini usitafute wa kiume duu!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  Chuo gani....?
  Wewe ni jinsia gani....?
   
 6. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Preta ni wa kike huyu we jipeleke ukakae nae halafu utupe matokeo
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  kukaa nae sio tatizo.....
  tatizo ni kutoa taarifa nusu nusu....vyuo vipo vingi sana hapa Tanzania.....aseme ni wapi...

   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hutaki wa kiume?
  OTIS
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  CCP Moshi
   
 10. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wewe ni mwanamke au mwanababa? Manake usilete ufukunyuku hapa
   
 11. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Akikuambia ni chuo gani utauliza maswali mengi sna,hata kule jukwaa la matangazo madogomadogo aliulizwa hakutaja jina, zaidi ya hiyo namba ya simu aliyoweka hapo. Na kwa aliyepitia maisha ya chuo huwezi kukosa mate wa kushare naye room,wapo wengi na wanahangaika sana kwenye vyuo,watu wanabebana hostel kila kukicha. ninachojiuliza mimi ni kweli mpaka aje atafutie hapa jamvini?haijalishi ni chuo gani,but inanipa mashaka.if uko tayari jitoe mhanga dada.
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hebu Preta tusaidie kupigia simu then utupe report.
   
 13. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ngoja nikutafutie, umusema room mate wa kike? :juggle:
   
 14. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mimi ni dume la mbegu, siwezi kupata hifadhi kwako???
   
 15. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he uko chuo umekosa mtu?anyway can i use your number for other purposes?kama vile kukutongoza...lol
   
 16. L

  Lucio New Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am lucio by name I find a one who can setup with me so as to share different aspect of life in fact I aim with a one who is ready.
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huyu binti nadhani anahitji roomate wa kiume hamjamuelewa
   
 18. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni hilo tu au unajengine?
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  chuo gani?GLOBAL KOLEJI,PRINCES K0LEJI,GREEN PASTURE K0LEJI,DATA STAR KOLEJI AU?
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  aisee....
   
Loading...