ushauri wa haraka!

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habarini wanajf, kuna tatizo ambalo nahisi linasumbua wa2 wengi, ni hivi mnapoanza relation mpk level nyingine ni nani anatakiwa awe wa kwanza kumtamkia mwenzake kuwa wakajitambulishe au kufunga ndoa? je ni mwanamke au mwanaume? nisaidieni!
 
kama unataka ndoa tafuta mtu ambae na yeye anatafuta ndoa
sio lazima ukiwa kwenye relationship ni lazima ndoa ifungwe
 
Hapo pia hakuna fomula, ila wakati wingine msukumo wa mtu na hamasa vinanaweza kumfanya yoyote kati ya msichana na mvulana akawa wa kwanza kutoa wazo.
 
Back
Top Bottom