Baada ya kutajiwa makovu ya mwilini ya mke wake amwaga machozi bar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kutajiwa makovu ya mwilini ya mke wake amwaga machozi bar

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mshume Kiyate, Jan 14, 2012.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakuu JF.

  Hii imetokea maeneo ya Kijitonyama Dar es Salaam Hongera Bar.

  Jamaa mmoja alikuwa kalewa na kuanza kuwatolea maneno ya dharau na kejeli vijana wawili waliokuwa wamekaa nae meza jirani.

  kuwa nyie masikini mnafanyaje hapa? Wale vijana wakamjibu Bro! Tunakuheshimu..

  Jamaa akaendelea kutoa kauli chafu, kijana mmoja akamwambia msalimie mke wako!

  Halafu mwambie lile kovu la kwenye paja, pamoja na la mgongoni atapona lini? Halafu napenda sana Dimples zake za kwenye makalio zilivyookaa vizuri.

  Jamaa kusikia hivyo akaangusha kilio na kukimbilia kwenye gari lake!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahahaha. . . .
  Kaazi kweli kweli.

  Kwanza inabidi aache dharau maana inawezekana anamdharau hata mkewe ndo maana katoka nje kumkomoa.
   
 3. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  HAHAH!!kuna vijanaa nomaa kwa kukaririi milii ya wezao
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hawa vijana wa mjini mnaowaita wauza sura ni watu hatari kwenye ndoa zetu.
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wamemuweza.
  Safi sana
  OTIS
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hamna lolote
  mtu anaweza kumchungulia mtu akiwa gesti na kujifanya alikuwa nae
  au labda ni muuguzi au daktari
   
 7. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Vijana walikuwa wanamsaidia ndo mana wakayajua hayo makovu ya ndani ya mkewe, akome na dharau zake.
   
 8. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Boss hawa walikuwa wanasaidia jamaa haiwezekani wachungulie kovu hizo zote kwani haspital watu huvua nguo zote? Halafu Boss we muda wote umekaa kilevi tu why? kwanini?
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  The Boss, umenichekesha naona umeamjua kujiliwaza na kujifariji...haya wale vijana walikuwa wauguzi wa hospitali
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahaaa kweli huyo jamaa kapatikana
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  sasa alikimbia kwa aibu au hasira??? je alikokimbilia kulikuwa nausalama ??? maana alitakiwa kurusha ngumu pale pale bar kwa jamaa
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu hata ukirusha ngumi kazi bure! Jamaa alikwenda kulilia kwenye gari lake baadae akaondoka kwa speed ya hatari utadhani fomula one!
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Aghhhhr,....kuna avatar zinachefua unaweza uondoke JF kwa mda kwanza.
  God forbid.
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​mnnnnh hapa atakufa mtu,lol,
   
 15. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  alichokimbia ni nini??
   
 16. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  huyo wife atakuwa alipata kichapo cha kufa mmtu
   
 17. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  kwani alipomuoa alikuwa bikra ? km alimkuta kashachakachuliwa ,basi wanaweza wakawa x wake au tabia za wavulana kuhadithiana akawa amezisikia hizo habari kutoka kwa x wake.....anyway it could mean anything lkn pia inaweza kuwa si lolote si chochote ,na hakuna mtu anayeweza kutangaza kirahisi hivyo kuwa katoka na mke wa mtu
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ha wapi! Jamaa walimmega mke wake.
   
 19. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Vijana wanapa pongezi kwa kujua confidence ya jamaa na kuishusha, tehe tehe tehe tehe tehe.
   
 20. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Inahitaji ujasiri sana kumdhihirishia m2 kwamba unakula vitu vyake hata km amekuudhi namna gani!..halafu huyo mwanaume anayelia kwa kuambiwa mkewe anamsaliti ni wa sayari ipi?!!

  Any way, labda ndo vituko vya uswazii.
   
Loading...