Tafadhari naomba usome hii na uchangie mawazo yako yenye HEKIMA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhari naomba usome hii na uchangie mawazo yako yenye HEKIMA.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bampami, Jan 15, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Habari wana Jf!!
  Nikiwa nimetoka kanisani mwenge, nikapanda gari za ubungo kupitia chuo kwani nlikuwa naelekea campus.
  Nikiwa kwenye gari mbele yangu alikaa mwanaume aliyekuwa amempakata mtoto kwa kumwangalia ni kama ana wiki tatu, Mwanaume alionekana ana furaha zaidi kwa mtoto yule, akicheka kwa furaha na kuongea naye yaani mpaka uliyekaa naye unafurahi kwa aina ya upendo aliokuwa akionesha,nliwaona wamama wa3 na dada m1 wakitabasam tabasam zito kwa yule mwanaume kuonesha kuvutiwa na kitendo cha mwanaume yule. Cha ajabu sasa mkewe alionekana kutofurahishwa na kitendo kile ghafla alisikika akisema "Mi unavyofanya sipendi yani akili zako yote iko kwa mtoto hata unisikilizi wala kuongea na mimi hivi kwanini wewe?" tuliokuwa naye karibu wote tukabutwaa.
  WANAJF, HIVI ALICHOKIFANYA MKEWE'/MMEWE' NI SAHIHI??

  Tafadhari tuelimishane kwa hili.
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Alikua na lake jambo huyo mwanamke wala sio hilo la mtoto.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Wivu ulimsumbua huyo mmama.
   
 4. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Kwa furaha aliyokuwa anaionesha baba ni wazi mwanamke angefurahi kwa kile, naamini japo sijafika kwenye ndoa kwamba kwa aina ile ya wababa sijapata kuona na kama wapo basi ni wachache sana.Wengi wao wake zao wakijifungua still wanakuwa busy mbaya akijitahidi ni kuacha matumizi tu.Mda wa kukaa na mtoto na kucheza naye kidogo kwao ni nadra.
   
 5. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  That woman had preconceived grudges..so wrong if her.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Eavesdropping, ndo tatizo! Ungewauliza ungepata jibu. Unajuaje huyo mtoto sio wa huyo mama (ni wa small house), au unajuaje aliposema 'sipendi unavyofanya' alimaanisha kitu tofauti walichoongelea mapema kabla hujaanza ku-eavedrop?
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wivu mpaka kwa mtoto wake mwenyewe?
  Kaaazi kweli kweli.
   
 8. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu kabla sijachangia hii ni GT na mimi huwa nayathamini mawazo ya kila mtu hata kama hayana hekima.
  Pia sidhani kila mtu ana hekima,usikute hata wewe mwenyewe usingeuliza swali kama hili.Kama umeoa/kuolewa usingeuliza wala kushangaa hiyo familia hasa mwanamke kumwambia mumewe kama unavyodai.Ndani ya ndoa kuna changamoto nyingi,kwa kutumia hekima tu,unatakiwa ulitambue hilo.Na si kila kitu unachokiona ndani ya familia za watu unakurupuka na kuleta humu jf,tumia hekima.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh, no comment
  sina hekima
   
 10. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 471
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Akina mama/dada wengi ni wabinafsi sana wana penda wajaliwe wao zaid ya mtu yeyote.
  Baba alikuwa sahihi, mama hakumtendea haki baba na hata kama hakufurahishwa basi angekuwa mtulivu mbele za watu.
   
 11. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kama ni mimi ningempa aendelee kumbeba yeye
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja.
   
 13. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  ana lake jambo huyo mama. Labda hakufurahia kitendo cha hao wanawake kumfurahia mmewe.
   
 14. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Usimlaumu huyo mama, kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa huyo baba ni mnafiki na alifanya hivyo tu mbele ya hao akina mama abiria ili kumkera mkewe.
  Huwezi conclude kwa kuona hapo tu, labda ungeuliza, kuna wanaume na wanawake mabishoo akiwa mbele ya watu anafanya mambo ya ajabu mazuri ili kujionyesha mbele ya watu kumbe kwenye maisha ya kawaida hawako hivyo kabisa.
   
 15. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mkuu. Ila naomba nikuambie ki2 cjaleta habari hii kama umbeya fulani LAKINI kuna ki2 nlichokiona nikajifunza lakini nilitaka nijifunze zaidi na ndiyo maana nlileta hapa kwa kuamini wapo wenzangu kwa namna moja ama nyingine wana uelewa zaidi na hivyo basi wanaweza kutumia uelewa wao kuelewa wao kuelimisha wengine nikiwemo mimi pia.Mangapi watu wameyaweka humu yamewaelimisha watu? Kama si maelfu?
  Hivyo basi sidhani kabisa kama nimekosea!
   
 16. T

  TUMY JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yote yanaweza kuwa majibu, SAHIHI ana SIO SAHIHI:

  SAHIHI; alichikifanya mwanamke kinaweza kuwa sahihi kama tu, huyo mumewe alimsikia na akaamua kumpuuza, inawezekana mkewe alimuuliza jambo la maana yeye akampotezea kwa kisingizio anacheza na mtoto.

  SIO SAHIHI; mwanamke atakuwa hayuko sahihi kama tu alisema maneno hayo kwa sababu ya wivu kwani jambo hilo halikuitaji yeye kuingiza wivu japo wivu kwenye mapenzi unaruhusiwa ila wa kiasi, lakini pia mwanamke atakuwa hayuko sahihi kama mumewe hakumsikia ila yeye akadhania mumewe kampuuzia.

  Natumai wakifika nyumbani watayamaliza hao.
   
 17. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana!!
   
 18. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  maisha haya!
   
 19. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Umeonaa B'
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sawa sasa! kuna vitu huwezi kuona wala kujua kwa kuona watu kwenye gari tu!
   
Loading...