Jamani wanawake: Mbona mnatudhalilisha wanaume hivyoo!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Unaweza ukaona kama pengine ni changamsha genge lakini hii kitu ni kweli kuna mwanaume hili jambo linamkumba kwa muda sasa.
Mwanzoni sikumuamini, lakini imebidi nifike kuamini ukweli huu.

Mpenzi wake-bado hawajaoana- amekuwa na tabia ya ajabu kila wanapofanya mapenzi na mwanaume anapofikia mshindo, huyo huwa anakagua ujazo wa manii zilizopo kwenye kondomu. Anapoona hazijafikia ule ujazo ambao yeye anaona ni 'standard' basi huanzisha varangati kwa mwanaume. Hoja yake hapo ni kwamba lazima atakuwa huko alikotoka amefanya ngono na mwanamke mwingine ndo maana hizo manii zimetoka chache.

Na inapotokea jamaa kwenda safari kikazi, anaporudi huwa hana raha kabla ya kufanya ngono akihofia kama zitakuwa chache basi ni kasheshe tupu. Jana jamaa kasema anampango wa kuanza kwenda pekupeku ili aondokane na hiyo karaha ya kukaguliwa utadhani enzi zile za siku ya ukaguzi wa usafi wa miaka ya 80 shule ya msingi.

Jamani kina dada, wanawake na wasichana, huu ukaguzi sio mzuri na ni udhalilishaji kiukweli. Na kama mnavyoweza kuona mwanaume amepagawa hadi anaanza kufikiria kuingia kwenye kufanya ngono hatarishi sababu ya kero na udhalilishaji toka kwa mtu ampendaye.

Acheni hizoooooooooooo!
 
Hahahahahahaha. . .eti udhalilishaji. Ngoja niwasaidie kuiweka kwenye katiba.

Poleni sana.
 
hadithi zake huyu bwana ndyoko zote anajitungia tu,kutoka ile ya wahaya sijui wana vidude gani,bibi kidude kny pool na hii ya sasa zote ni za kufikirika tu....
 
Du! huyo mbona cha mdoli namlia karanga mbichi, nashushia na kahawa mchana hiyo, usiku nashuka zangu kwa wauza supu ya pweza. nikiachia mshindo mmoja ni lazima anikubali. akae na taulo jirani.
 
Kwanza siamini kama stori hiyo ni ya kweli hilo ni moja, lakini pili huo si udhalilishaji ila uelewa mdogo wa washiriki wenyewe.hakuna mantiki kwenye wingi ama uchache wa manii.
 
hadithi zake huyu bwana ndyoko zote anajitungia tu,kutoka ile ya wahaya sijui wana vidude gani,bibi kidude kny pool na hii ya sasa zote ni za kufikirika tu....

hiyo ya bi kidude ni vyema ungejiuliza kama akili yako ina akili ya kuweka kumbukumbu, ungejua ilikuwa jukwa gani. Sina uhakika na hilo la wahaya, labdaunikumbushe kama nilikuwa initiator wahiyo maneno-huenda nimesahau
 
Haya ni miongoni ya vijimambo vya kawaida sana kwenye ndoa....

Kama kweli hashushi mzigo pembeni basi awe mtulivu na kutoa maelezo ya kutosheleza bila kumng'unya maneno! Hata akienda kavu, kuna wengine wanadai kuwa wanaweza kuhisi volume iliyoingia huko ndani...

Hakuna ujanja...apambane na hiyo hali na kuhakikisha kuwa anakuwa mkweli...Ila kama ni cheater basi hapo amekutana na kiboko yake!! Labda aanze tabia ya self service ili kuuza ushahidi!!

Babu DC!!
 
Du! huyo mbona cha mdoli namlia karanga mbichi, nashushia na kahawa mchana hiyo, usiku nashuka zangu kwa wauza supu ya pweza. nikiachia mshindo mmoja ni lazima anikubali. akae na taulo jirani.

Bila ya kusahau na UJI WA SHURBA, uji wa ngano,na nikiuja kuwa nakaribia kurudi ni mwendo wa supu asubuhi na jioni, maziwa na tende na juice ya parachichi kwa wiingi...! Tuone kama hatojaza kikombe
 
duh! hii kali sijawahi sikia.....mie ndio maana nasema hawa dada zetu kweli watamu ila drama jamani punguzeni plzzzzz
 
Hii ndo hasara ya kutokwenda jandoni! Hivi kweli mwanaume asijue namna ya kuongeza manii si ni aibu kubwa jamani...?! Au wote bado ni watoto?!
 
asante babu DC

nimeamini wewe ni mzee na unaexperience na haya mambo.

Unfortunate, hii kitu ni ukweli 101%, vol and col.
sema si kila mwanamke hulalamika anapoona tofauti

wengine huishia kusema tu, leo hii changa la macho, bora kufake it na kupumzika.
Haya ni miongoni ya vijimambo vya kawaida sana kwenye ndoa....

Kama kweli hashushi mzigo pembeni basi awe mtulivu na kutoa maelezo ya kutosheleza bila kumng'unya maneno! Hata akienda kavu, kuna wengine wanadai kuwa wanaweza kuhisi volume iliyoingia huko ndani...

Hakuna ujanja...apambane na hiyo hali na kuhakikisha kuwa anakuwa mkweli...Ila kama ni cheater basi hapo amekutana na kiboko yake!! Labda aanze tabia ya self service ili kuuza ushahidi!!

Babu DC!!
 
vunja ukimya zungumza na mwenzio kuwa jambo hilo hulifurahii na pia generalization sio sawa 1 case haiwezi kutumika kurepresent the whole femine character.
 
Back
Top Bottom