Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi nahitaji msichana mwenye sifa ambazo naye najiona kuwa anastahili. Mf. Mrefu kiasi, mweupe kiasi, asitumie mkorogo, asiwe na chunusichunusi, asiwe mapepe... Awe anapatikana au awe tayari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu sifa zangu mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO. Na...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Jamani ndugu zangu ni mpenzi wangu ambaye tangia tuanze kujuana takriban miaka miwili sasa hajawa kuniomba kitu chochote hata vocha mpaka hvi sasa tunaplan ya kustart tht new life.na mimi mwenyewe...
1 Reactions
92 Replies
8K Views
Habari wana MMU. Nilikujaga na thread mwaka jana ya Kabila la Wakurya kuwachagulia wenzi watoto wao, watu walinishambulia sana. Im sory kwa wale ambao waliona kuwa kabila lao halina hiyo tabia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wale viumbe wanao jiuza usiku wamegundua style mpya. baada ya wateja wao kuwakimbia mala kwa mala, sasa hivi wameamua kuwaajiri wamasai. kama unashindwa kulipa wamasai wanakushughulikia kwa...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Wana wa Jamii haijapita hata wiki kabla hata mate yangu, hayajaanguka chini. Nilishuka na Thread hapa iliyokua na headin' "HII NYUMBA INAKALIKA ? " Ushauri niliokua nimeomba ni kumhusu Kaka...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wapendwa kama mada inavyojieleza hapo juu, nimeamua kuvunja ukimya na kutaka kuingia katika maisha ya ndoa. Mimi ni mwanaume, dini mkirsto. Nina umri wa miaka 31. Mrefu wa wastani, maji...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wakuu, najua kukutana ni mahali popote, mnaweza kukutana kwenye basi, njisni, kanisani, msikitini, mpirani, kumbi za starehe na mahali pengine ambapo sijapataja. maeneo hayo watu wamekuwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Samahani sana: Tumekuwa tukisikia mara nyingi kuhusu mahusino mbali mbali. Kunawazo nimelifanya la astrojia ambalo lina kueleza mahusiano yako na mpenzi wako yakoje. Basi vinjari . Kumbuka haya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini wana jf, jamani mwenzenu nimekuwa hurted hii ni mara ya pili uchungu ninaoputa ni kama kidonda nisaidieni nifanyaje?
1 Reactions
81 Replies
6K Views
Straight up right ya know Laaaaaydeeees HaHaHaHaah I love ya tho If your man ain't takin care of ya girl don't worry I'm exactly whatcha lookin' for 1-800 Mr. Lovah Dig dat SHAAAAGGY Are you...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua akindada wengi wana tabia ya kuomba, hata kama wanauwezo wa kiuchumi lakin hawachi kuomba,naamaanisha kumwomba mwanaume pesa. chanzo chake nini? je uko sawa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hapa kuna mapenz au nin leo nimemsindikiza hospital thn akapima akanitel haumwi ki2 alafu amepewa dawa kuzisoma ni ya viginer duu nika jifanya sijui kumuuliza akantel niya rashez mi nikavunga...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
mie ni kijana fulan wa makamo. but tatizo langu ni hili ambalo limenifanya niingie kwenye jamii forum nipate ushauri. nina mpenzi wangu ngoja nimuelezee sifa zake kwanza ndo nahc ndo njia rahisi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kheri ya mwaka mpya wana Jf kila pande mlipo. Wandugu, mwishoni mwa mwaka jana nilijitambua kuwa sistahili kuendelea kuishi peke yangu ktk dunia hii, hivo niliamua kwenda home kutafta atakae...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani hapa, Veronica Saleh ‘Mama Kaela’ (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo. Kijiji hicho kipo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
habari zenu..jamani mimi tangu nianze kufanya mapenzi nimekua sifiki katika orgasm kama wana wake wengine wanavofika..na pia ni mara chache sana kupata hamu ya kufanya mapenzi...ila nikicheki porn...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Siku moja nikiwa na safiri kuelekea Dar esalam kutoka mbeya nikiwa kwenye kituo cha mabasi, kulikuwa na wazee wawili, walikuwa na maada ambayo walinifanya niwadadisi kwa undani zaidi ,wakidai...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
By Herieth makweta. MARA nyingi wengi tumekua tukichukulia masuala ya kiuhusiano tofauti na vile ilivyo kawaida Siku zote wanawake hujitahidi kutafuta wanaume wenye vipato vyao na wangine pia...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…