nimekuwa hurted mara ya pili

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habarini wana jf, jamani mwenzenu nimekuwa hurted hii ni mara ya pili uchungu ninaoputa ni kama kidonda nisaidieni nifanyaje?
 
Mkuu pole sana. mapenzi ndivyo yalivyo. kama umeamua kuingia kwenye mapenzi hakikisha umejiandaa kuenjoy na kuumizwa pia. watu wengi inawatokea siyo wewe tu wala wewe si wa mwisho. sasa wewe kwenye mapenzi unataka raha tu?. Ukiona hivyo ujue ndo unakomaa kiakili katika ulimwengu wa mapenzi. kwa mfano mimi kuna nilio waumiza na kuna walio niumiza lakini life linaendelea. chakufanya ni kusahau yakiyopita na kuganga yajayo. usipoteze mda kwa asiye kupenda. pole sana. Mia
 
come to me and i will make you happy, and you wont regrate or be hurted again.
 
Pole lakini mbona hujasema umefanywa nn au wewe peke yako ndio unaumizwa tuu? ebu tueleze labda kutakua na sehemu unakosea...
 
Pole mwaya mshukuru mungu kwa hilo,
Huwezi jua mungu anakuepusha na nn,
Na ujue ni lzm uumizwe ili ijue makosa yako upate mda wa kujirekebisha na kujijua thaman ya mapnz pia,
Tuliza akili kwa sasa,mwombe mungu akukutanishe na aliye wako.
 
Pole, that's how it is! Usjute sana wala kuumia sana. Hajui thamani yako, hata ungemwonyesha unaumia vp, bado hawezi kujari! What to do, jiweke busy na mamb yako binafsi, jaribu kujichanganya na marafiki zako, fanya v2 vitakavyofanya ufarahi, najua ck 1 utamsahau, na utapata mwingene. Hata mm hivi majuzi 2 nimetendwa, kweli najua kias gani maumivu yalivyo. So i knw how you feel! Pole.
 
kisa ni hi my face boyfrn aliniumza tukiwa mwaka wa tatu mm niko moshi yeye yupo udsm,na niligundua baada ya huyo dada kunipigia nakuniambia kinachoendelea,tukaanza kukata mawasiliano,then 2kaachana kabisa ,nikaka kama mwk hivi nikapata kaka mwingine km mnavyokumbuka nilishaomba ushauri kuwa MPENZI WA ZAMANI ANAJIRUDI! wakati nime accept proposal kwa mtumwingine xboy akajirudi nikakataa coz nilikuwa na mtu mwingine ,cuurent boy alionesha nia akiniambia atakuja hom kujitambulisha, kumbe kaka mwenyewe baada ya kukaa kama miezi sita nikagundua kuwa alishamvisha m2 pete ivyo anasubiria harusi 2! iyo ndio situation
 
Pole sana mpendwa, ndo mapenz yalivyo na huyo hakuwa wa kwako kaa ukiamin kuwa wako uliyeandaliwa na mungu yupo so muda ulifika mtaonana na utafurahia maisha ya mapenz
 
kisa ni hi my face boyfrn aliniumza tukiwa mwaka wa tatu mm niko moshi yeye yupo udsm,na niligundua baada ya huyo dada kunipigia nakuniambia kinachoendelea,tukaanza kukata mawasiliano,then 2kaachana kabisa ,nikaka kama mwk hivi nikapata kaka mwingine km mnavyokumbuka nilishaomba ushauri kuwa MPENZI WA ZAMANI ANAJIRUDI! wakati nime accept proposal kwa mtumwingine xboy akajirudi nikakataa coz nilikuwa na mtu mwingine ,cuurent boy alionesha nia akiniambia atakuja hom kujitambulisha, kumbe kaka mwenyewe baada ya kukaa kama miezi sita nikagundua kuwa alishamvisha m2 pete ivyo anasubiria harusi 2! iyo ndio situation
na kwanini unainvest kwa mchumba mmoja? matokeo yake ndo hayo siku akiondoka unabaki kulia ngoja nikupm jinsi ya kuishi na hawa viumbe mtoto
 
kisa ni hi my face boyfrn aliniumza tukiwa mwaka wa tatu mm niko moshi yeye yupo udsm,na niligundua baada ya huyo dada kunipigia nakuniambia kinachoendelea,tukaanza kukata mawasiliano,then 2kaachana kabisa ,nikaka kama mwk hivi nikapata kaka mwingine km mnavyokumbuka nilishaomba ushauri kuwa MPENZI WA ZAMANI ANAJIRUDI! wakati nime accept proposal kwa mtumwingine xboy akajirudi nikakataa coz nilikuwa na mtu mwingine ,cuurent boy alionesha nia akiniambia atakuja hom kujitambulisha, kumbe kaka mwenyewe baada ya kukaa kama miezi sita nikagundua kuwa alishamvisha m2 pete ivyo anasubiria harusi 2! iyo ndio situation

pole woiyeee,but mpotezee tu he was not meant to be.utapata m2 mwingine atakaye jali hisia zako zaidi,take heart.
 
Back
Top Bottom