nashindwa kumuelewa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nashindwa kumuelewa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by LuisMkinga, Jan 16, 2012.

 1. LuisMkinga

  LuisMkinga JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 855
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 180
  mie ni kijana fulan wa makamo. but tatizo langu ni hili ambalo limenifanya niingie kwenye jamii forum nipate ushauri.

  nina mpenzi wangu ngoja nimuelezee sifa zake kwanza ndo nahc ndo njia rahisi ya kuelewa shida yangu.

  kwa mwaka jana tu mimi kuwa naye ni uhusiano kama wa 7 hivi japo mapenzi yameanza rasmi mwezi wa 9. kabla ya hapo tulikuwa marafiki wa story( salamu kwa ufupi na jokes za hapa na pale) tu but nimekuja gundua sifa zake zaidi pindi nilpoingia kwenye uhusiano naye

  1. ni mtu ambaye haeleweki kwa kweli mara leo anichek kwenye 4n mara hanichek au mara siku nyingine anaongea nami kimahaba siku nyingine napgwa sound ndo naanza kumtongoza.
  2. anapenda jokes sana na wakati mwingine jokes zake naona zinanizingua( japokuwa nami ni mtu wa jokes). mfano unaweza ukampgia 4n ikawa busy ukimuask why ur 4n is busy aniantel anaongea na vibuzi vdogo au sugardady ukimbana sana akupe maelezo anakuambia kuwa nawe hutaniwi.

  3. kuna siku nilikuwa naongea naye kwenye 4n sasa kwa sababu ya kunogewa na porojo nkataja jina la rafiki yake. aisee mwanaume nilsusiwa wiki moja na nkaaambiwa mie malaya, eti namix yeye na rafiki yake kumbe nilikosea na ukweli wa mambo huyo rafiki yake napga story za kawaida.

  4. sasa kibok ni hii toka nianze naye relationship anataka gemu za kila siku. yan nkimtel kuwa naenda job au nimebanwa na masomo ful kununa. nahisi anakapepo ka ngono. mana akija rum hataki tuzungumze mipango ya maisha yeye anataka gemu mwanzo mwisho.

  5. toka nianze naye uhusiano ni kama miez 4 hivi lakini huwa anantania kuwa mie wale wapenzi wangu wa zamani tunawasiliana kama kawaida ila hawana jipya. so nahisi kama nachakachuliwa, but kuna mpenzi wake wa zamani kama tukipga gemu rum siku moja kabla anampgia 4n kuwa kesho unaenda kufanya dhambi au baada ya kupga gemu anamuask we jana umefanyaje??

  6. sometime akija rum huwa ananiask hivi wewe ni mpenzi au rafiki

  sasa naomba mnipe ushauri wenu wanajamii. mana simuelewi kama huyu ni aina ya mwanamke au ndo life style yake. na nataka kama ananipenda kweli au tunachezeana tu. mana kumpenda nampenda.
  ni mimi
  muathirika wa mapenzi
   
 2. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  duh hapooo !!kwenye number nne watu wanatafutaa hiyo bahatii wee unaonaa kerooo,akiamungu kweliii tumetofautianaa.demu kichechee kaa vipi we kulaaa mzigoo jipangee kwa chochote
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mambo yetu umeamua kuyaleta humu eeh!! sasa subiri .......
   
 4. LuisMkinga

  LuisMkinga JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 855
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 180
  :lol: yan b'real nimepga show mpaka perfomance imeshuka kazini.
   
 5. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  mzee inaonekanaa una ogopaaa,kulaaa kitu kutwaa mara tatuu atakimbiaa mwenyewee,then frai cse ana feeling kwako.jaribu kukaa nae chinii umeeleze wat u think about her and u wat her 2 change to be serious kablaa hamjaingia kwenye maisha mapya ya ndoa.mwanamke utavyo mtreat ndo hivyo hivyo atavyo kuwaa,kamaa ulikuwaa una jokes nae sanaa ukiwaa unamtongozaa so endeleaa kujokes tu
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  HAHAHAHAH duh! kweli dunia uwanja wa fujo kila mwenye ngoma yake hucheza, sasa mpaka sasa hujakijua cheo chako kwa huyo unaemuita mpenzi au rafiki? au yeye ndio mpenzi wako wa kwanza ndio mana hujui kutafautisha? halafu wenzio game wanaipenda mpaka jasho linawatoka lakini hawapewi, ww umepewa nyama umenyimwa meno...chamsingi huyo bint sie kama unampenda na uko tayari kua mtumwa wa penzi na hilo penzi lenyewe huliwezi au niseme speed yako ndogo,ongeza speed au utaendelea kula na wenzio...
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hakutanii huyo dada, ni kwamba tu hakuheshimu na anajua ndani ya nafsi yake kuwa wewe ni sex provider wake lakini hakuna wala hakutakuwepo na zaidi ya hilo.... na hata ungechukia kutokana na hicho anachosema yeye hajali...!

  Mtu anayekupenda hawezi kukueleza hayo anayofanya, au kukutania utani ambao utakuweka kwenye wakati mgumu hivyo na zaidi kukuliza hajui kama wewe ni rafiki au lah....umetumika vya kutosha...simama sasa kama mwanaume mwenye zaidi ya uwezo wa kufanya mapenzi na ufanye maamuzi magumu...muache na vibuzi vyake,sugar daddy...kha!
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ngoja niende jukwaa la siasa kwanza.
  Nitarudi
  OTI
  S
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona kama wewe ndo hueleweki? yaani hueleweki hueleweki. tuseme wewe unataka muongee maisha kila siku? alisha kusoma kama wewe mvivu na hataki hizo story zako za maisha. kwani umemuoa? ukiona hivyo usha mchoka. unaonekana umepata kishashuda kingine ndo maana humlidhishi hadi anakuja kila siku ili hamu yake iishe. kumbe wewe ulikua ukitongoza ukijua mchezo!. hakikisha unamaliza hamu yake kama vipi kaazime mkunyati. twanga mashine mkuu la sivyo utakimbiwa. Mia
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona kama wewe ndo hueleweki? yaani hueleweki hueleweki. tuseme wewe unataka muongee maisha kila siku? alisha kusoma kama wewe mvivu na hataki hizo story zako za maisha. kwani umemuoa? ukiona hivyo usha mchoka. unaonekana umepata kishashuda kingine ndo maana humlidhishi hadi anakuja kila siku ili hamu yake iishe. kumbe wewe ulikua ukitongoza ukijua mchezo!. hakikisha unamaliza hamu yake kama vipi kaazime mkunyati. twanga mashine mkuu la sivyo utakimbiwa. wenzako tunawakosa wa hivyo. Mia
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  mapenzi ya utoto yana kazi
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ana umri gani? Inawezekana bado ana akili ya kitoto, yaani ndio yuko kwenye ule umri wa kuona kila kitu katika maisha ni sawa tu, ndio maana anataka kila siku mvunje amri ya 6 kwa maana kwamba hiyo kwake ni starehe. Kama tatizo sio umri ujue hapo huna mchumba bali mtu wa kupotezea muda na yeye ana mtu wake. Mkuu umelilia wembe umepewa sasa unakukata unaanza kulalamika. Wewe si ulimwomba mwenyewe, halafu wewe mwanafunzi unaendekeza ngono utushushie kiwango cha kufaulu.
   
 13. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe 100% kisukari
   
 14. LuisMkinga

  LuisMkinga JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 855
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 180
  Thanks.
   
 15. LuisMkinga

  LuisMkinga JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 855
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 180
  Sio mtoto we approaching 28 both of us. So c utoto ni mwanamke hajatulia tu nahisi.
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  28 years?? dah, labda vyakula navyo vinafanya watu wanachelewa ku-mature....you can do better...use your brain wisely!
   
 17. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kimbia. Hakufai kaka yangu.
   
 18. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  duuuuh huy dada kakubuhu huyu maana number 6 ndo imenichosha ....sasa rafiki anaweza kumnaniliu????/
  na hiyo mbil iyo usikute anafanya kweli afu we unajua utani hahahahaha pole
   
 19. salito

  salito JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Mhhhhh hizi stori za pwagu na pwaguzi,kaa nae umueleze haya unayotueleza humu halafu uone atasemaje
   
 20. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hv wote tungekuwa tunaingia JF for ushauri ingekuwepo kweli? Unamaanisha bila hilo tatizo JF ingekuwa mbali mbali...........
   
Loading...