Tabia hii ya akina dada vipi?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
472
110
Uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua akindada wengi wana tabia ya kuomba, hata kama wanauwezo wa kiuchumi lakin hawachi kuomba,naamaanisha kumwomba mwanaume pesa. chanzo chake nini? je uko sawa hiyo? haiwazalilishi hiyo?
Mbaya zaidi imejengeka ktk jamii kukiwa na wapenzi basi mwanaume lazima amfinance mwanamke inakuwaje? kuna mtu humu ndani anashanga eti wako na mpenz wake two year hajamuomba kitu,manake ni lazima mtoto wa kike aombe? mi binasfi inanikela kama nini?
 
inategemea na aina ya mpenzi uliyenaye wengine wasipoombwa hawajisikii vizuri so kila shwetani na mbuyu wake.
 
Loh, mi sipendi kuomba, ila kuna wakati tu unajisikia kumwambia mpenzi wako akununulie kitu fulani, na hili linaongeza mapenzi....ila isizidi
 
feis buku umeniachaa hoiii...mi binafsi kuliko kumkopaa pesa mwanamke boraa ni mpee 2,walaa nisidai.maana hakunaa kazi ngumu kama kumdai mwanamamaa asee.

Ukisikia wanaume ndo nyie sasa...endelea hivyo hivyo mkuu!
 
Naomba nikupe pole kwanza,
Iko hivi unatakiwa kutimiza wajibu wako wa kumtimizia mahitaji yake no matter ana kipato au hana,
Km anacho na hahitaji basi yy ndio akwambie,
Inaonekana ww hutimizi wajibu ndio maana ameomba,unafikiri nani amtunze ili ww uje kumtumia?
Ulimkuta anapendeza ndio maana ukampenda na km umempenda ni jukumu lako kumtunza tenza zaidi ya ulivomkuta kwan kupendeza kwake ndio fahari yako bro!!
Je ukimwona anapendeza sana kwa vitu vya thaman ile hali humpi hela na unajua ana kipato kidogo utaridhika?

Kitunze kidumu acha kulalamika tena shukuru mungu anakuomba,kuna wenye pesa zao huko wanatafuta wa kumzimpa,
Timiza wajibu wako kwan hata walioowa wake wenye pesa still huwa wanaacha kodi ya meza.
 
Kuhudumia hamtaki ila mkiona wanapendeza mnaingiwa wivu na kuanza kuhoji! Mnajielewa lakini nyie???
 
Usione vimeelea vimeundwa! Katika hali ya kawaida hata mkiwa katika ndoa haijalishi mwanamke ana kipato au la! ni wajibu wa mwanaume kumtimizia mahitaji mke/mpenzi wake. Hata biblia imeagiza hivyo, "Enyi Waume wapendeni wake zenu......." Kumpenda ni pamoja na kumtimizia mahitaji yake ya kimwili.

Lakini pia mwanamke kumuomba mzpenzi wake hela au chochote sidhani kama kuna ubaya binafsi naona ndo penzi linanoga kwasababu mwanamke atakuwa commited kwa mpenzi wake kwa sababu mwanaume anamjali kwa huduma kubwa na ndogondogo
 
baelezee bakuelewe mwaya!!
 
Unajua FB wanaume wengi sana wanakimbia majukumu yao, anataka amtumie tu mwanamke akiombwa kitu hataki sasa kuna mapenzi hapo, Adam aliambiwa hivi atakula kwa jasho lakini Hawa aliambiwa hivi utazaa kwa uchungu basi! Acheni uchoyo hudumieni wake zenu na wapenzi wenu. Kwako Mleta mada haijalishi mkeo/mpenzi wako ana kipato ni wajibu wako kumhudumia unless mmepatana vinginevyo, upo?
 
Nani aliyesema mwanamke atunzwe na mwanaume kwa kugalimiwa? Huyu mwanume yeye anatunzwa na nani? Si kila mmoja ajitunze mwenyewe? Kwani hii haki sawa majukumu kwa wote tafsiri yake nini?
 
Nani aliyesema mwanamke atunzwe na mwanaume kwa kugalimiwa? Huyu mwanume yeye anatunzwa na nani? Si kila mmoja ajitunze mwenyewe? Kwani hii haki sawa majukumu kwa wote tafsiri yake nini?

mwanaume atunzwe na nani??!!!! Bila mkeo wewe ungekuwa unanawili na kuachia tabasamu mpaka single ladies wanakumezea mate?? Bila mpenzi wako we gheto lako ungekuwa unakaribisha watu(though this is a favour)?? Hivi hujajua tu.....eeh?? When it comes to the ground, who plays a tough role if not her?? And, what do you expect when you tape that 'kikalagosi chekundu' babaa?? Or do you possess the red sea so that she can help pass across?? Huh........curious!!! Jaribu kuwauliza wazee unaokaa nao watakujibu vizuri sana!!
 
Back
Top Bottom