Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dear mother,sweet mother please fight for me Dear friends mama yangu anaumwa saaaaaana please muombeeni.
13 Reactions
74 Replies
9K Views
WanaJF, huwa kuna taarifa kwamba mme anaweza kutega dawa kwa mkewe ili mwanaume yeyote atakayetaka kufanya naye mapenzi nyeti zake zipotee kabla hajamwingilia mwanamke, au mwingine anaweza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yawezekana ni kweli kwa uhalisia lakini hii nimesikia kwenye kipindi cha ndoa nkaona nikuunganishe na wewe tupeane ukweli je ni kweli wanawake wengi wanatyukamata wanaume sababu wanaamini wanaume...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi friends on line?
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Umezaliwa mtoto wakike Baba yako kakuona unafanana na mamayake anaamua kukupa jina la Mamake!!umekuwa umepata mchumba mnataka kuoana madhebu yenu yanatofatuana!Mchumba anakwambia badili dini uwe...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu natafuta nyumba ndogo, yenye mvuto Sifa: 1. Iwe tayari kutunza siri SANA SANA 2. Iwe tayari kuhamwa ikipata mpangaji wa kudumu, mimi nitakuwa tayari kuhama kwa hiari 3. Iwe na mapenzi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama Mzazi unaona picha ya mtoto wako kwenye Magazeti ya udaku! Utafanyaje?
0 Reactions
63 Replies
5K Views
HABARI ZA JIONI NDUGU ZANGU? Wale walioguswa na mgomo wa madaktari poleni sana. jamani hivi mnapokuwa chumbani na mke/mume wako na mnataka mfanya mambo yetu ni nani huwa anaanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi jaman kwel ukimwi utaisha?mbna dawa za ukimwi wanasema zimegundulika mbna sion wagonjwa wakipona asa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rafiki yangu ambaye anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Tano, baada ya kumtaka mapenzi mpenzi wake kabla ya kufunga ndoa, mpenzi huyo amemkatalia katakata kwa kile alichodai kuwa anaweza...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
ati, hapo penye U inakuwaje?cjaona nyuzi zake...izo M naona ziko kibao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutwa kucha kusengenyana na kusemana vibaya. Kuoneana wivu na kijicho. Kusingiziana mambo mabaya na yasiyo ya kweli. Kuombeana mabaya. Kuchukuliana waume/mabwana/wapenzi. Huku mnajifanya marafiki...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Unamdanganya msichana wa watu,huna girlfriend,kumbe unae,unamdanganya mvulana wa watu,upo pekeyako,kumbe wapo wengi.Ipo siku woteee watakukimbia,utawatafuta utakuta wameshaoa au kuolewa..Usijesema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kumekuwepo na wimbi kubwa la wanawake wenye ndoto ya kuwa na makalio(makadi) makubwa kwa njiayeyote ile ,alimradi makalio yake yatutumke inapofika kwa wanaume makalio (makadi) yamekuwa ni moja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
M2 yeyote ndani ya jf ambaye yuko tayari 2we marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo,kupeana changamoto kimaisha pamoja na kutchat,na si vinginevyo ajitokeze.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu,nikiwa natimiza miaka kadhaa siku ya leo,nina furaha kubwa maishani mwangu.Pamoja na malezi ya watu wangu wa karibu,Watu wote wa Jf,wake kwa waume mmeyabadilisha maisha yangu.Ni mizigo mingi...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanamke kamili ni mwanamke ambae anajiweza kihisia na kifikra, mwanamke ambae sio tegemezi wala maisha yake hayatawaliwi na kuzira. . . Badala ya kuzira unajieleza. Mwanamke ambae anaifahamu...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
Being in relationship ain't something simple and sometimes ain't difficult as well. We always face some difficulties that creates questions, lots of questions, here are some Questions that I've...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…