Eti wanawake wengi wanaamini wanaaume ni wadhaifu kuliko chombo chochote!!duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti wanawake wengi wanaamini wanaaume ni wadhaifu kuliko chombo chochote!!duniani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jan 31, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Yawezekana ni kweli kwa uhalisia lakini hii nimesikia kwenye kipindi cha ndoa nkaona nikuunganishe na wewe tupeane ukweli je ni kweli wanawake wengi wanatyukamata wanaume sababu wanaamini wanaume wengi ni wadhaifu kuliko chombochochote duniani..na imani yao ndio inayotufanya hata wenye ndoa zao wasiomjua mungu kuanguka na kushia kutunza nyumba ndogo na kuacha wake zao walioamini na kudai wametoka kwa mungu.....

  Kwako mpwa mawazo yako
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  nadharia kweli ila kivitendo SI KWELI KBS
   
Loading...