My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The only, Feb 10, 2012.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 698
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Ilikuwa mwezi uliopita nikitoka tabora na ndege inayo pita dar kwanza kisha mwanza ndo inakuja dar ,mwanza inakaa 3 hrs yakufaulishiwa,ghafula nikakutana na demu ambaye kuna rafiki yangu alishanitambulisha ni mpenzi wake, sasa ikabidi nimsalimu nakukua naye, tulichoharibu ni kuanza kunywa bia kusubiri ndege pale tabora tulikunya tatu tatu.

  Kwa ndege story zikaendelea siti moja na bia mbili, sasa ishu mwanza tulifika sasa tano tukaambiwa ndege ya dar saa mbili tukakaa ka baa ka pale nje tia tungi sana sasa ishu ni usiku kwenye ndege ,sjui ilikuwaje asee tulikula mate ndege inaanza hadi tunafika nilipofika dar nikamuaga.

  Sasa asabuhi nikawa normal nkawa nahuzuni sana si tabia yangu kabisa,nkam sms plz ya kwenye ndege yabaki untold na yasirudie akaanza kutuma sms za mapenzi nkawa sipokei na simu sms nadelete pia ,sasa ishu nimerudi tabora jamaa ake z my best tukitoka job tuu huyu kunichukua tukacheze mpira au weekend bar.

  Sasa kila akiniita yuko na demu yule wa ndege yaani ananikonyeza mara anikanyage na siku alinifata toilet na kusema kama vipi anaonyesha ile sms ya kusema ya ndege ya ishe humo akinisingizia nimemtongoza yaani skuiz namuepuka msjkaj hadi ananiuliza ,na sina wa kumweleza sjamwambia m2 usumbufu huu ...NISHAURI
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Pole sana na ukiendelea itaku cost
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,801
  Likes Received: 14,359
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kupanda ndege! Tungejuaje?

  Ukome kumendea vya watu!:smash:
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Mhhh japo uandishi wako haujaenda vyema ila hayo ni matokeo ya ulichofanya
  na ulijua kabisa ni msichana wa rafiki yako na ukakubali kutoa ulimi wako ukampa
  na then hapa unakuja kuomba ushauri wa kujutia kile ulichofanya
  Na ole wako msichana huyo aonyeshe sms uliyomtumia ndo utakuwa mwanzo wa kuvunja urafiki wako na jamaa na urafiki wa msichana na jamaa maana itaonekana sio mwaminifu
   
 5. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,554
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  funda moja la ziada.....
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  Hako ka mwanamke mcharuko jamani bora wewe umetambua kosa lako ,
  Ila la kufanya watakushauri kina kaka :embarassed2:
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mla huliwa baba, subiri jamaa yake ajue akupakue KIBOGA!!
   
 8. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,090
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  hii stiry kampe huyo rafikiyo mwenye demu au demu mwenyewe.
   
 9. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Hicho kidemu hakijatulia! Ishu ni pale kitakapokusemea kwa jamaa yake msg anazo! Dont sms her again halafu kwenye simu yako mweke kwenye black list
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Sawa,tumeisha jua kuwa ulipanda ndege mkuu.
   
 11. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​gonga mzigo ulitoa ulimi wa nini
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,299
  Likes Received: 14,549
  Trophy Points: 280
  bahati haiji mara mbili
   
 13. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binadamu bwana! Sasa mnamsanifu kusema kapanda ndege? Hata kama we bado hujapanda kubali tu kuwa wengine saiv ni jambo la kawaida sana wanazipanda kila siku kama unaona unapenda pigana upande kama vp ishi uwezavyo khaa! Great thinkers wawe ndege ni issue?
   
 14. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,015
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  duuh thats very bad,whay did u do that?dont ever allow it to happen kwa demu wa mwenzio au mke wa mtu utaja umbuka hapa mjini hako katabia kako kaache kabisa eeh
   
 15. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kula maini hayo wewe halafu piga kimya.Ukiona matamu kwa mwezi mara moja sio mbaya kama machachu mpotezee moja kwa moja
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  hahahahaaa...
   
 17. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  sasa unajua mwana kwa sababu wewe ndio ulishabugi it tym to face the music...endelea na huyo demu pata uroda na pia jua utakamatwa some tym.
   
 18. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #18
  Feb 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  hii filamu inaitwaje?
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Tatizo lililopelekea kufanya hivyo ni kupanda ndege ama kunywa bia?
  Tutegemee matukio haya ukikwea pipa ama hata bia za mwananyamala zinakulandua?
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,434
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145

  Hivi kupanda ndege ni issue eeeh, sikujua.
   
Loading...