Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dear Miss Judith, Nimesukumwa na upendo mwingi wa dhati uliojaa furaha kukuandikia waraka huu mfupi kukupongeza na kukutakia heri ktk maisha yako mapya ya ndoa unayokaribia kuyaanza hivi...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
tafakari ijumaaa kareeem wana jf
0 Reactions
21 Replies
3K Views
i couldn't forget my first love that i didn't seen for 9 years since i was child and i can't fall in love again if there is any psycologiste help me
0 Reactions
11 Replies
2K Views
male and female. Age 36-45. Just for company na kubadilishana mawazo. Pm is allowable
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ninapoona jinsi wakina dada zetu walivyogundua jinsi ya kutuondoa stress za ugumu wa uchumi kwa kuyabana na kuachia nje machakula yaa watoto. duh mwenzenu huwa napenda sana na nikikutana na mdada...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika mahusiano zile nafasi watu wanazokua nazo (mchumba,mpenzi,mke,mume) hua zina kutambulika ama kutotambulika, kukubalika ama kutokubalika, kupendwa ama kutokupendwa n.k Hayo ndio hua...
2 Reactions
119 Replies
6K Views
Wakuu, heshima mbele, Najuta sana kumtafuta partner humu JF yani pamejaa usanii hapa usipokuwa mjanja kama mimi unalizwa hivi hivi unajiona. Kipindi kile nilikuja na swala la kutafuta mchumba...
14 Reactions
153 Replies
13K Views
Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa na uhusino wa siri. awe na umri kuanzia miaka 20-45. mwembamba au mnene. lakini ambaye anajiheshimu na kuheshimu uamuzi wangu wa kufanya uhusiano wa siri na si...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Najua mwezi uliopita ulikua ni mwezi wa majukumu_kwa maana hiyo mifuko kidogo imepwaya,...ila si vibaya tukitakiana week end safi. Week_end njema wakuu.
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Wakati huu wa sikukuu ya wapendanao mambo mengi hutokea. Mapenzi mapya huzaliwa, wapenzi wa zamani hugombana ma wengine husameheana. Kwa siku kumi na tano TAYOA itakuwa ikikupa namna nzuri na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Lol. .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Kumbe ukiondoa style ya mzungu wa tatu, kuna mitindo mingine nayo ina maana nyingi katika mahusiano. Hebu jionee mwenyewe pamoja na maelezo yake ktk link hii: What your sleeping position says...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.
4 Reactions
52 Replies
7K Views
natafuta demu ambaye atakuwa mke hapo baadae ila kutongoza.. nifanyeje na umri unakwenda?
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Ni wiki ya tatu sasa tangu aende kwao kuwaona wazazi wake hajarudi, na nikimpigia simu ananipiga saundi. Mimi uzalendo utanishinda nitamfuate huko huko maana hawa wanaonitega na Skin Jinzi...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Wana JF, Kuna jamaa yangu mmoja anaomba ushauri wa kiafya na kisaikolojia. Yeye ni mwanafunzi wa Masters, na analalamika kwamba mwalimu wake anamsumbua sana. Siku za hivi karibuni anadai amekuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwenu wajukuu zangu wote, Babu loves you all…….ila ninamhitaji mmoja....atakayewahi.... wa kunikata kucha, kunilisha ugoro, kuniletea mkongojo na kunibembeleza…..Nani anatajitolea kunywa mvinyo...
0 Reactions
259 Replies
16K Views
Mkuu wa kituo cha Polisi Kiteto, amempatia kipigo mwanaume hadi kumvunja mkono mwanaume huyo. Kituoko hicho kilitokea wakati mke alipoenda kumuona mkuu wa kituo, eti kushtaki mumewe hataki kumpa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake. Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom