Nawashukuru wana jf kwa msaada wenu wa mawazo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawashukuru wana jf kwa msaada wenu wa mawazo.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kanjunju, Feb 12, 2012.

 1. K

  Kanjunju Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natanguliza shukrani zangu kwa mwenyezi mungu kwa kila jambo alilolitenda kwangu.lakini nitakuwa mkosefu wa fadhila kama sitowashukuru kaka na dada zangu wa hapa jf kwa ushauri walioutoa nilipotoa ombi langu la ushauri kwao.hakuna aliyesita kutoa ushauri ukiachilia mbali wale wanaochukulia mambo kirahisi.kimsingi baadhi ya ushauri mlionipa hasa kwenye pm umezaa matunda.hivyo nafikiri wale wote waliotoa ushauri kwamba nisiolewe walikuwa kwenye upande wa mungu muweza wa yote.mungu awabariki na jumapili njema.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,330
  Likes Received: 11,065
  Trophy Points: 280
  Ubarikiwe pia Kanjunju
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hongera kwa kupata na kupokea ushauri ULIOHITAJI hata kama sio ulioutaka.

  Kila la kheri.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hongera kwa ushauri ulopata

  hope ulikuwa mbayuwayu ukamix na zako.
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Asante kwa feedback; ingawa sikumbuki kuuna uzi wako, na pia hongera kwa kuweza kufanya informed decisions.
   
 6. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,603
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wewe ni muungwana mno...

  Karibu tena...
   
Loading...