Ogopa huu mtandao wa marafiki.com......umejaa matapeli wa kike wa kitanzania

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
Kwa wale ndugu zangu mnaopenda kutembelea mitandao tofauti kuna huu mtandao unaitwa marafiki.com ambao host wake yupo senegal ila asilimia 100 unatumiwa na watanzania ambapo katika mtandaoo huu unahuusisha vijana kuchart na kuwa na marafiki

sasa kuna videmu katika mtandao vina tabia ya kutongoza wa wanaume halafu vinatoa namba zao za simu zao
ukipiga unaongea nao.....na vingi vina jifanya vina pesa sana.........na mwisho wa siku vinakupa account namba
zao na namba za siri halafu vinakwambia ukiwa na shida fungua account yangu na chukua pesa zozote utakazo kama ukiwa huna pesa.............

Ogopa sana kuingia kwenye account zao......
 
naomba umalizie ukiingia kwenye account zao inakuaje ili tupate picha kamili
 
Unaibiwa pesa.....kwenye account yako hawa mademu wana software hatari za kuchakachua account
 
Sasa wanaijuaje akaunti yangu au wanaomba jina langu na namba ya akaunti?Mbona sielewi fresh?Hebu nielewesheni wadau!!!
 
... kuibiwa hapo ni lazima uwe ZIRO au una KICHAA CHA NGONO. kikawaida kabisa huwezi kuingia mtegoni.
Infact hata mbwa wangu hanasi, acha yule paka dume mweupe ambaye ni mapepe balaa..
 
ww siku moja jaribu kuingia huo mtandao utashangaaa unatumiwa requet nyingi na mademu wengi wameweka picture nzuliii na wanakuomba namba ya simu utapigiwa simu.....halafu unashangaa unapigiwa simu mtu anakupenda
 
ngoja nijaribu kusikia kwa kenge nitawapa account yangu ambayo haina kitu nione
 
Kwa wale ndugu zangu mnaopenda kutembelea mitandao tofauti kuna huu mtandao unaitwa marafiki.com ambao host wake yupo senegal ila asilimia 100 unatumiwa na watanzania ambapo katika mtandaoo huu unahuusisha vijana kuchart na kuwa na marafiki

sasa kuna videmu katika mtandao vina tabia ya kutongoza wa wanaume halafu vinatoa namba zao za simu zao
ukipiga unaongea nao.....na vingi vina jifanya vina pesa sana.........na mwisho wa siku vinakupa account namba
zao na namba za siri halafu vinakwambia ukiwa na shida fungua account yangu na chukua pesa zozote utakazo kama ukiwa huna pesa.............

Ogopa sana kuingia kwenye account zao......
kuna nini.........!!?
 
Baelezee baelewe!
Sasa wewe kijana mzima, unapewa account namba na password (kwanza kwa uongo huu, sijui unachukuaje hela bila kuwa na card......)
Halafu ukiwa na shida ukachote? Kuna siku mtachotwa kwa kupenda bwerere!
Yalee ya kumuambia mkeo afanye maarifa kila siku, atafanya maarifa usaidiwe na mbegu, ebooo!
kupenda vya bure ndiko kunakoponza wengi!
 
Mbona haini click kabisa hii story... Yaani napewa a/c ya demu then naibiwa mimu pesa kwenye account yangu!!
 
naomba umalizie ukiingia kwenye account zao inakuaje ili tupate picha kamili

We naye unaonekana mshamba sana kule ndio kuna matapeli lakini kusema kuwa wanakupa account na namba za siri huo ni uongo maana hata kama uwe na namba ya siri bado lazima utahitaji ATM Card.
 
Labda km uliwaachia ATM card yako wakakuibia. But kuniambia wakikupa account na password yao then wanaiba kwenye account yako. Hiyo technology imewahi kweli, ungesubiri subiri kidogo.
 
acha uongo wewe, kwanza marafiki inamilikiwa na mtz, pia hao wa senegal wameuvamia siku hizi tu, zamani tulikuwaga wabongo tu mule.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom