nifanye nini niliye mpenda kani chinjia baharini?

Zoooom

New Member
Feb 11, 2012
4
0
Nilikuwa nasikia kuwa mapenz yanaumiza!! Sasa nimeona na nimeumia, cha kufanya ni nini? Nisipende tena au nitafute mwingine?
 
tulia ivo ivo
sikilizia machungu hadi yaishe

ukikurupuka tu, inakula pande yako.
 
fanya kazi kijana acha kuwaza mapenzi mapenzi hayana jipya.. cha msingi maendeleo yako
 
Back
Top Bottom