Kipi bora, mwenye experience au asiye na experience?

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
Hali zenu wanajamvi, huwa ninajiuliza kila siku. Kipi bora kati ya haya. Kuoa/kuolewa na mtu ambaye ana experience katika mapenzi au asiye na experience. Nikimaanisha kwamba mtu ambaye alishawahi kuwa na mahusiano zaidi ya watu wawili ama watatu. Maana unaweza kuta mtu alishawahi kuwa na mahusiano na mtu mmoja u so anajua vitu vichache katika malavidavi. Ila aliyepita pita japo kwa 3 or more people anayaweza sana make kakutana na vitu vipya na tofauti..... Hii mnaionaje wanajamvi????????
 
inategemeea kuna wengine ni wapenzi wa used kuanzia magari hadi ya ndani lakini wengine tunapenda kitu na boksi ufungue mwenyewe haya mwengine si unapiga darasa tu? ....Lol!!
 
There ur mamito... clap clap clap........ mana unaweza kuta alishakuwa na mtu mmoja mengi hajui LOL
kweli,mimi mwanaume ambae hajawai kuwa na mahusiano wala simtaki kabisa,nataka ambae ameshateswa na mapenzi hadi amejichokea kabisa na maisha akija tunapumzika tu
 
kwani ambaye hajui ile kitu yake haifanyi kazi?
 
inategemea na uzoefu wenyewe... kuna wengine ni wazoefu wa kuingia kwenye mahusiano na kupiga/kupigwa chini.. ; ukimpata mtu kama huyo sometimes anakuja na machungu yake au hata ganzi kwenye uhusiano mpya; yaani anakuwa so paranoid, so insecure, so insensitive kiasi cha kufanya issue nzima ya uhusiano kuwa ngumu...
 
Kitu brand new ndio mpango mzima, scrapers zinakutu unawezapata tetenasi haraka. Unaambiwa samaki mbichi mkunje angali mbichi, mfano ukutane na hawa wanaochomekea dira kwenye chupi utawaweza kweli
 
Brand New???? je wewe ni brand nyu icjekwua unataka brand nyu while wewe ni used ... hahaaaaaaaa
 
Binafsi napingana na hao wanaotaka experience kwenye Mapenzi. Mapenzi siyo kazi ya kusema unahitaji uzoefu wa kufanya kazi wapi kwenye makampuni yapi makubwa na challenges ulizokutana nazo huko! Hii ni field tofauti kabisa!!

Nafikir ni vzr kuweka pembeni experience kwenye mapenzi maana kwanza inaonyesha kutokuwa na uaminifu kwenye mahusiano yako, pili inaweza kukuletea matatizo ya kisaokolojia na mwishowe kushindwa kabisa kufurahia tendo la ndoa kwa sababu ya aina ya machine mtu nazokutana nazo mfano kwa mwanamke anakutana na ndefu, fupi, nene, nyembaba, kubwa mno nk na wanaume hivyo hivyo wanakutana na kubwa, sijui pana sana, inayobana, yenye maji nk. Kama hauna experience ni ngumu kutofautisha ladha so unajilia na kufaidi kimya kimya unatosheka, vinginevyo utaendelea kusaka vitu vya nje. Na tatu, kuna experience nyingine ni mbaya kama zilivyo za kula au kuliwa tigo na mambo mengine mengi machafu ambayo hawa wanaojiita wana experience huyafanya pasipo kujua madhara yake kiafya.

Ushauri wangu ni bora ambaye hana experience maana huyo ni mwaminifu na pia anaonekana si mtu wa tamaa mbaya.
 
maona upo kingono zaidi.kwani mapenzi ni ngono
 
Mie nataka kipya nitoe manailoni mwenyewe! Walitumika wanamambo yao, yaninijitunze miaka yote hiyo nijekutana na alifilisika kimapenzi.
No can't be forever
 
inexperience tutajifunza pamoja, aliyekuwa mjuzi atakudhalilisha endapo atakuwa unampa dose haiendani nae
 
Back
Top Bottom