Naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sister, Feb 17, 2012.

 1. sister

  sister JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,027
  Likes Received: 3,933
  Trophy Points: 280
  Namtafuta rafiki yangu nimepotezana naye kama miaka miwili hivi na kwa bahati mbaya namfahamu huyo rafiki yangu kwa jina moja tu, sijui anapoishi ingawa yupo dar na alishawahi kunielekeza kwake kwamba unashuka kituo kinaitwa sayansi ila baada ya hapo nimesahau unaelekea wapi mana sikufanikiwa kwenda, na wala sijui anapofanyia kazi. please mwenye idea yoyote ya kumtafuta mtu kama huyu kwamba nifanyeje mana namba yake ya simu sina nilipoteza na nina shida naye ya muhimu kweli. je nikienda kwenye kampuni ya mtandao wa simu niliyokuwa natumia kipindi hicho wanaweza kunipa records ya namba zangu nilizokuwa nimesave kipindi hicho?please naombeni msaada wenu,
  Ahsante.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika kama kampuni za simu wanaweza kutoa taarifa za mteja bila ruhusa yake. Hiyo ndio njia rahisi ya kumpata huyo rafiki yako.
   
 3. sister

  sister JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,027
  Likes Received: 3,933
  Trophy Points: 280
  thanx kwa ushauri wako, ila nilitaka wanipe taarifa zangu mana nilimsave kwenye simu ambayo sasa hivi siitumii na nikampa mdogo wangu hiyo simu na yeye akafuta namba zote akaweka za kwake na mbaya zaidi hyo simu imeblock na huo mtandao niliuama kabisa.
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Endelea tu kuzunguka kwenye mitandao ya kijamii huku ukiweka bayana jina lako kamili unaweza kumpata. Ungeendelea kutumia jina lako bandia sina uhakika kama utakuja kufanikiwa. Jaribu face book na kwingineko.

  All the best
   
 5. sister

  sister JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,027
  Likes Received: 3,933
  Trophy Points: 280
  facebook nimejiondoa, afu uku JF si tunatumia majina bandia. ubaya naye namfahamu kwa jina moja tu la kwake ila la baba yake au la ukoo silifaham. thanx anyaway
   
 6. M

  Malova JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kama ni mtumiaji mitandao. Jaribu FaceBook utampata kirahisi. Kwasababu kule hata marafiki aliokuwa nao utawaona pia.
   
 7. R

  RECYCLER Senior Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jst google his name, try facebook coz t provides a lot of info, if uu remember his/her sec xcul go there coz they keep info where somebody comes from and sometimes with relatives contacts from there i think you will b able to trace him/her, if your real serious you can use televisions to find him/her jst show yourself and give the discriptions of the person ur looking for.
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Jaribu ku google jina lake, au jaribu ku search face book, hi 5 na kwingineko

  Unajua alisoma wapi? anafanya kazi wapi? hayo yote yangeweza kusaidia
   
Loading...