Love v/s money. . . .! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Love v/s money. . . .!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Feb 20, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Siku hizi wanaume wamekua wakilalamika kuwa wanawake wamekuwa wakipenda hela na hawamtaki mwanaume asiekua na hela.Wanawake nao wamekuwa wakidai kuwa sio kweli kuwa jambo hilo lipo na kama lipo ni kwa wanawake wachache sana.Lakini pia ukitazama mazingira utaona kila upande unazungumza ukweli fulani.Mazingira yanaonesha kuwa pande zote zipo,yaani wanawake wapenda hela wapo na wanawake wanatambua hilo,tofauti ni ukubwa wa tatizo unavyoonekana kwa wanaume na wanawake,wanaume wanadai ni idadi kubwa ya wanawake ndo wanapenda hela.Maisha yamebadilika sana pesa inaonekana kama tool kuu ya kuendesha maisha mpaka inatumika kwenye kuamua nani awe na mahusiano na nani!Ukweli ni huo na wa kulaumiwa anaonekana ni mwanamke coz ndie anaefuatwa na ndie anaekubali au kukataa,hivyo wanaume wamekuwa wakijitoa kwenye lawama hii.Lakini je nani mwanzilishi halali wa kadhia hii?Hivi wanaume wakigoma kuwa wahongaji jambo hili litaisha?Au wanawake watalazimisha?Je nani anaweza kubadili hali hii wanawake au wanaume?Maana inaonekana mapenzi ya bila hela kama hayawezekani siku hizi!
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mkuu vp yashakkuta nini? Lakini hata hivyo, hivi huyo mwanamke mjinga utampata wapi, yaani umuchie hayo 'maujiuji' yako aende ananuka shombo bila hata kipoozeo mkuu. Au mkeshe usiku kucha, halafu unamuacha day b bila hata hela ya supu!
   
 3. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  Eiyer
  What other tool is there kuendeshea maisha zaidi ya pesa? From which angle do you justify mpewa pesa as the culprit in instead of mtoaji? Maana if you ask me, I'd say............... if there are no buyers, then obviously a seller shall stand no chance of ever flourishing!!!!
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  mpenzi bila pesa ni sawa na daladala bila konda
   
 5. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Spika, mbona umetoroka mjengon?
  Lkn m naweza sema pesa ndo kila ki2 hata ukiwa mbaya vp watakusumbua 2. Ma she wa cku hiz wanathamin sana money bt hata ma he, kama hujiwez na yeye hatakuweza.
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Your right nemo,but kama wewe ndo vnaamua ni nani umkubalie huwezi kuona kuwa mwanamke pia anaplay sehem muhimu pia kwenye jambo hili?As long as yeye nindio anaefuatwa na ndo anaeamua amkubali yupi!
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Be serious ndyoko!U knw what i'm tolkin about!
   
 8. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Love is giving
   
 9. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mmh, waswahili husema pesa/fedha ni sabuni ya roho... fedha ndiyo medium ya kubadilishana bidhaa au huduma katika ulimwengu wa leo na almost kila kitu including mapenzi hivi sasa kinaweza kuthaminishwa kwa fedha; kwa maoni yangu, wanaume hawana sababu ya kulalamika kuhusu wanawake kupenda fedha coz wanaume wenyewe ndiyo watumiaji wakubwa wa medium hii katika masuala ya mapenzi... na wengi wao wanaamini kwamba ukishakuwa na fedha (hata kama huvutii au ni domo zege) utampata mwanamke yeyote na wakati wowote unaotaka
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Mh!What your point here?
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pesa sio kila kitu lakini wanaume wengine wanakua na tabia mbaya sana unamvumilia kwenye dhiki zote akishaipata pesa
  wewe ulovumilia unakua hustahili kule ile pesa anakuja mwenzio anaejua kutumia wewe tena unakua spare hapo ndio kaona haya la ukimpata mwenye uso wa mbuzi ndio hata hakujui wewe nani tena,mambo kama haya yanamfanya mwanamke avujike moyo na atakae kuja baada ya hapo ndio wanalipa alio fanyiwa huko alikotoka....
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Arabianfalcon,una uhakika unaposema kuwa fedha sio kila kitu?
   
Loading...