Kuolewa na kuachwa kwa wazazi wako hiyo nayo ni ndoa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuolewa na kuachwa kwa wazazi wako hiyo nayo ni ndoa ?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jompyain, Feb 21, 2012.

 1. jompyain

  jompyain Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kufahamishwa, kuwaninii ?waume wengine
  waoapo wake wanawaacha kwa wakwe au kwa wazazi wake mke?
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  iyo itakuwa ni aina mpya ya ndoa
   
 3. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makubwa hivi hiyo bado ipo. may be kwa wale wa kuleeeee kanda ya kaskazini!
   
 4. h

  hayaka JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mambo ya kizamani hayo! enzi zile hata baba na mama walikuwa hawalali chumba kimoja.
   
 5. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kwa leo sizan kama yupo wa hivo. Labda kama ndoa ina matatizo wametengana kwa muda.
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hao wa aina hiyo nafikiri hawajadhamiria kuwa na mke aisee au laa walilazimishwa, mi nikioa nakubeba saa hiyo hiyo!!!
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mmmh sidanganyiki na ndoa hii lazima tu tuondoke pamoja baada ya ndoa.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  hv kwanini walikuwa hawalali pamoja? malovee walikuwa wanafanya mida gani?
   
 9. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,188
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wakitaka kutafuta mtoto. Nyie wa siku hizi ndo mnalikosea heshima tendo la ndoa...
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  so kwa mwaka mara moja au?
   
 11. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0


  Kutojiandaa ipasavyo huchangia jambo hili. Kabla ya ndoa, ni vizuri mambo yote yakawa wazi/tayari, ujue mtaishi vipi, wapi, mna nini, nini kifanyike n.k. Wasichana wanapaswa kuhoji na sio kukimbilia ndoa.
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,188
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Msimu wa mavuno, kazi za shamba zikipungua...
   
 13. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,188
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Zaidi ya 50% ya ndoa zinahamasishwa na mimba zisizopangwa...
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hii inatokea pale umekaa na mtu zaidi ya miaka miwili na haonyeshi malengo yeyote.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Sasa unataka wafanye kila siku, imekuwa ugali hiyo? Ndo maana nyumba ndogo zimezidi shauri ya uroho!
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,265
  Likes Received: 4,245
  Trophy Points: 280
  la sio ndoa hiyo..... usikubali
   
 17. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  khaa! hii kali sasa
   
Loading...