natafuta mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mke

Discussion in 'Love Connect' started by mshana org, Feb 17, 2012.

 1. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  habari jf.mimi ni kijana umri wangu kati ya 26-30 natafuta mke wa kuoa awe muislam mwenye heshima awe anaswali walau hata ijumaa.awe na upendo wa dhati pia awe anajua nini maana ya maisha sio awe wa kuweka starehe mbele.umri wake 19 -25 sichagui kabila wala elimu.plc niko serouse.aliyoko tayari anaweza kuni pm.au kutumia email.
  Saidi49@ymail.com
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  mkuu mke mwema wa kuoa hatafutwi kwenye keyboard. Naomba nikuondoe haya mawazo mgando mwanamke wa kuoa hatafutwi kwa matangazo usiifanye biashara. Mwanamke wa kuoa huja kwenye mazingira ambayo wewe huwezi kutegemea, wanawake wa kwenye keyboard utawapata wale ambao wameshatumika sana kwa hiyo wanaona mda wao wa kuolewa umefika kwa hiyo watapretend kwa kila kitu
   
 3. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Nashukuru mkuu.ushauri wako nimzuri ila nimefikia hatua hii sikua napenda ila nimeshajaribu kutafuta kwenye mazingira ninayoish lakini kwa bahati mbaya kila ninayempata nakuona labda atakua ndiye anakuja kuniumiza kabla hata ya kufikia lengo yani kama hatakua kicheche.anakua amekuja kuvuna kwangu.kitu ambacho silengo langu.ndio maana nikaona nijaribu huku labda riziki yangu mungu kaiweka humu.
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  CV yako haijakamilika Said, unafanya kazi gani. Ningekupm lakini umri umekimbia
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  shuve ii
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu utapata mke kweli wakati hata umri wako huna uhakika nao? 26 - 30 ndiyo una maana gani???
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inshallah mwenyezi mungu atakupa mwenye kheir na weye.
   
 8. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Mkuu nina uhakika na miaka niliyonayo.
   
 9. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa dua zako shekhe wangu kwani pia lengo nikupata mke aliye na kheri ya allah
   
 10. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Unataka cv gani.swala lakazi sidhani kama linauhusiano na mapenzi au ndoa coz inamaana unataka kujua maisha ninayoish ndio unikubali?je hapo utakua umenipenda mimi au kipato changu?ndio maana hata mimi sijesema nataka mwenye kazi fulan au elim flan.hii haina maana kua mm hizo cv sina ila nahtaji mke kwavigezo hivyotu.hayo mengine nitayapata badae au yeye atayapata badae.ukitaka kazi yangu ni mp nitakwambia ila sihapa
   
 11. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Umefikisha mingapi?
   
 12. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Umeshajenga? unagari? una savings account? unapenda kwenda nje ya nchi holiday?
   
 13. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Hapa hakuna kwenda holiday.wala nini unataka gari wakati dalala zipo?
   
Loading...