Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Are You Single?" "No, I'm Plural." "No, I mean, are you free this friday?" "No, I"m expensive

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Feb 21, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 145
  ndoa ni umoja wawageni wawili wasiofahamiana vema.kila mmoja ni kama msitu wenye vitu vyakugunduliwa polepole.ugeni huo ni chanzo cha matatizo mengi kwenye ndoa.
  wengi hugunduatofauti zao baada ya kufunga ndoa.
  baada ya ndoakila mmoja hushangaa kuwa anatofautiana na mwenzake. Kwa mfano,
  1-mmoja amezoeakwenda kitandani saa tatu kumbe kwa mwenzake ndo muda muafaka wa kuzungumza nampenzi na kufanya mapenzi
  2-mwingine amezoeakulala mapema saa moja au mbili amelala fofofo .lakini huamka saa kumi alfajirihuo ndo muda wake muafaka wa mazungumzo na mapenzi
  3-mwingine akiwamgonjwa hukaa kimya,hajielezi wala kutafuta faraja kwa mtu,mwingine daah hudekana kueleza hali yake kwa kireeeefu ili atunzwe kama kifaranga cha siku moja
  4-kawaida ya mmoja nikuvaa nguo za ndani wk nzima bila kubadilisha ,mwingine hubadili kila siku
  5-mmoja hujifutia taulo wk nzima wakati mwenzakehajifutii taulo wiki mbili
  6-mwingine hupendakula ugali usiku mwingine akila ugali usiku huota anakimbizwa na simba .
  hii ni mifanomichache members ,baadhi ya mambo huweza kufurahiana ,lakini tofauti zinginehuleta maudhi na kero.
  nini kifanyike iliwageni hawa waweze kuishi vizuri?
  goodmoning friends
  love u all
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,322
  Likes Received: 978
  Trophy Points: 280
  Tafsiri sahihi ya upendo ni,kumkubali mtu bila masharti,yaani pamoja na tabia zake bila kukereka nazo!Nani anaweza hii?
   
 3. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Fupisha yani hujui ukitaka kumficha mwafrica weka ujumbe kwenye vitabu
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Naona mambo ya kitchen pat haya....ngoja nikusabahi tu Smile!
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 145
  huo ni udhaifu wako mkuu.
  Kwa siku mimi lazima nisome makala 5 ndefu kabisa na nizitafakari na kuzielewa.
  Nikiwa shule tunasema mtu wa kitabu kimoja ni mtu wa idea moja na iyo idea inaweza kuwa wrong
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 145
  mmmh ndo ivo? Wewe ni mgeni wa nani?
   
 7. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 6,761
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Mambo mazuri hayo .....nimependa mtu wa kitabu kimoja ni mtu wa idea moja
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  Duh, wakonsentreti kwenye uumbaji.
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,848
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Inawezekana, ikiwa upendo wa dhati
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,091
  Likes Received: 7,120
  Trophy Points: 280
  habari zenu ndugu
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 145
  uumbaji gani tena k
   
 12. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,792
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ya mapenzi waachie wapenzi!
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 145
  wamaanisha nini mamii
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,164
  Likes Received: 465
  Trophy Points: 180
  hapo namba 4 huwa ni mgogoro mkubwa. Cha msingi nikubali mwenzio jinsi alivyo au nikujitahidi kumrekebisha kama unakereka
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,609
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  nanndio maana hata mimi nimependa na kumubali mama Ngina pamoja na kunizalia watoto watundu na wanoko lakini mie nimo tu..............!
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,545
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  hapo lazima itabidi mmoja wa wageni hao awe mpole na kumfuata mwenzake vinginevyo vita nje nje kati ya wageni hao..
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 145
  unadhani ni rahisi kuishi kwa kumfuata mtu?
   
Loading...