Dini imekua kikwazo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dini imekua kikwazo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SOKETI, Feb 22, 2012.

 1. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jf imekua msaada mkubwa sana kwangu, nimebahatika kuwasiliana na watu wengi na wengine kufikia kuanzisha uhusiano ila nasikitika mara nyingi dini imekuwa kikwazo..kwani ahiwezekani watu wenye dini tofauti kuishi pamoja?
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Fafanua kaka, wamekukwaza kule jukwaa lenu?
  Mbona mimi ninamarafiki wengi na wala hatuulizani vya dini?
  Kuna majukwaa za stress humu ndani, kaa mbali nazo.
  Pia kuna ID za kukwazana, just avoid them. JF shule. lol
   
 3. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwangu mimi dini ninaipa nafasi kubwa sana japo wapo wengine huwa wanaichukulia kawaida na wala hawaoni kama yaweza kuwa kikwazo. Ila huwa najiuliza maswali mengi sana kati yake ni je mkianza mahusiano mkafikia hatua ya kuanzisha familia na mkabahatika kuwapata watoto je wenyewe watakuwa upande upi au wataabudu sehemu gani? Na hakika familia nyingi imara zenye upendo na amani ni zile zenye maadili ya kidini.
   
 4. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  unachosema Aisha ni kweli, lakini mbona wahenda walisema mapenzi na mahususiano hayachagui dini wala kabila.. Swali:- mbona imekuwa rahisi kwa mwanaume wa kiislam kumuowa mwanamke wa kikristo ila inakua vigumu kwa mwanaume wa kikristo kuowa mwanamke wa kiislam, je ni alali kumuacha mtu umpendae kisa dini?
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  My point of view ni kuwa kama ni platonic relationship, dini sio issue. Lakini kama ni uhusiano wa longterm na hasa ule wa kujenga family, I believe the family that prays together stays forever.
   
 6. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  thanx, Madamex but ingekuwa wewe umempenda mtu wa dini tofauti na hautaki kumpoteza ungechagua aina ipi ya uhusiano..na hasa ungekuwa umempenda kimapenzi zaidi na vile dini imekuwa kikwazo cha kuishi pamoja, je wewe ungekua tayari kubadili dini?
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa kiasi fulani kwenye mahusiano ya kindoa ni vzr kuwa na imani sawa ili kuepusha migogoro isiyo ya lazima. However, mapenzi hayachagui; hutua popote, na ikitokea hivyo, ni vzr busara na hekima itawale na pia familia yako na hiyo tarajiwa wapewa clear cut-off ya maamuzi ya ndani ya ndoa yenu hususan kuhusu imani maana watawachonganisha kila siku, na mtakosa amani siku zote za maisha yenu.
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sibadili dini wala sifanyi mahusiano na watu ambao tuna belief tofauti unless yuko ready kunifuata dini yangu. Huo ni msimamo ambao ninauweka mbele kabla hatujaingia deep kwenye mapenzi ili tusipotezeeane time.
   
 9. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapo ndo matatizo mengi yanatokeaga ila namshukuru mungu kwa hilo, ushauri wangu ni kuwa ni vzr kuangalia tofauti zenu kabla hamjafanya maamuzi ya kuanzisha uhusiano make huwa mtihan mkubwa pale mnapoamua kuanzisha familia hasa kwa upande wa wazazi ambao dini imewakaa sana na kwa wahusika pale mnapotaka kumshirisha mungu na mkawa mnatofautiana kiimani
   
 10. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,493
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  K wa hapa mwanzoni mwa mapenzi unaweza kuona dini siyu ishu lakini.... baadae kunaweza kutokea manatizo makubwa na huwa yanatokea. Kwa mfano mmoja wenu kafa...taratibu za mazishi zadini zgine zinatisha ....kuzifuata kwa mtzamo wa mtu wa dini nyingine, na pia kuna mambo ya mirathi dini zingine mtu akifa hasa mwanaume mwanamke anakuwa hana kitu kabisa!!! hivyo think.....kuna matatizo mengi nadhani kuliko faida ni ni ngumu lakini ndiyo ukweli.
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Uhusiano gani?
   
Loading...