kwelwa
Member
- Feb 19, 2012
- 34
- 0
Wanajamii ni hivi juzi nilibahatika kuongea na mtaalam mmoja.Tukiwa katika mazungumuzo tuligusia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.Alinihakikishia kuwa dawa za kununua za kuongezea nguvu zina madhara makubwa huko mbele ya safari.Aliweza kugusia matumizi ya glucose na maji kuwa ni bora zaidi.Kama mtafiti nilifanya majaribio,nilichokigundua hasikwambie mtu,perfomance yake ni ya hali ya juu.Sambamba na hilo maji mengi ni muhimu ukanywa nusu saa kabla ya pambano.Tusisahau kutuliza mawazo wakati wa tendo.