Shugamami anataka nitumie pesa zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shugamami anataka nitumie pesa zake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by iron finger, Feb 21, 2012.

 1. iron finger

  iron finger JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mambo Vipi Wakuu?mwenzenu kuna mdada naishi nae kanizidi kama miaka 7 tatizo lake kubwa ana wivu kinoma na kutokana na wivu wake hataki hata nifanye kazi amefungua ofisi maeneo ya magomeni na anataka niwe msimamizi na niachane na misheni zangu naombeni ushauri wakuu.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Eheeee Marioooooooooooo!!
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Olewaga mwenzetu utunzwe uwe mwanamke huku ukijiandaa na upungufu wa kinga mwilini.
   
 4. iron finger

  iron finger JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ushauri mkuu
   
 5. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  I'm too old for this...........source TB
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mwanaume mwenye akili unataka ushauri wa aina gani zaidi ya huo au unataka ushauri wa kukutia matumaini ilihali unaacha hali halisi ilivyo
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa alisha kuja hapa na habari za ushoga,....
  leo kawekwa ndani na jimama ohooooo,...
  waulize wenzako wa mombasa wanavo fanywa + kuchapwa na majimama yao.
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwanza tumuulize huyo "jimama" wake ana jinsia gani?
  Ni mwanamke au mwanaume?
   
 9. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tumia nawe utumike, hapa hamna vitu vya bure
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wivu si kitu kibaya katika mapenzi. Huonyesha mapenzi aliyonayo mtu, ingawa ikizidi ni tatizo kubwa. La msingi ni kumshauri na kumuonyesha kuwa wewe ni mtu ambaye unajiamini na unamuamini mpenzio na kamwe si mtu wa kudandia wanawake hovyo.
  Inawezekana huo umri wake ndiyo unamfanya ahisi kwamba unaweza kuwa na vimwana nje. Muonyeshe upendo na ukaribu na msisitizie mara kwa mara kuwa umeamua kuwa naye yeye tu na unampenda kwa dhati regardless ya tofauti ya kiumri.

  Suala la kuacha mishe mishe zako na kwenda kusimamia miradi yake kwangu halina msingi maana kama una tabia mbaya unaweza kuiendeleza hata hapo kwenye miradi yake na pia naona kama si picha nzr sana kwa mwanaume kusimamia miradi ya mpenzio wakati hata ndoa naye bado! Unaweza usieleweke!

  By the way, kwa nini unahangaika na shugamami wakati mabinti wa umri wako wapo wengi? Je, ni kwa ajili ya hivyo visenti na miradi yake? Kama ndvyo aisee, wewe ni mwanaume, badili tabia na jitafutie kwa jasho lako.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mmmh!! Anaweza akawa shoga?
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hamna tatizo kulelewa
   
 13. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kamua wewe acha kurembaaaaa
   
 14. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Ukipunguza dozi,atapunguza wivu...
   
 15. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Hakuna mt anayefuga mbwa asiyewinda.lazma anajua atakapokutumia haina shida olewatu ujue lazma uwe mke wake
   
 16. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kama hii ndio trend ya post zake huruma bure....... mtoto sio riziki huyuuu!
   
 17. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kubali ule vyabure unenepe kama paka wa feri,akishampata mwenzio anaeweza kukushinda wewe ukubali na kufukuzwa pia. ukisikia wanaume kama ma Bint ndio wewe..
   
 18. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Anataka akuweke ndani kinyumba?? LOL
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Subiri akuweke kwenye chupa kwanza,soon utakuwa zezeta aka mwanaume suruali.
   
 20. Tajiri mweusi

  Tajiri mweusi Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hehehehehehehe miaka 7 siyo issue, wewe unataka kuolewa au kuoa, ushauri piga mzigo fanya mishe zako au piga chini tafuta mtu wakukufaa ucije mwagiwa tindikali bureeeee!
   
Loading...