Kama wewe utafanyaje....???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama wewe utafanyaje....????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by zubedayo_mchuzi, Feb 21, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Umekaa na mpenzi wako sebuleni mmepumzika usiku...gafla unamuona anachart na hauna tym naye kwa anachokifanya gafla unasikia mlio wa msg kwenye simu yako,Unafungua msg na kusoma unakuta imetoka kwake-
  ikisema
  "AS i tld we were not serious,am urz u dont av 2 wor,ningekuwa nakudanganya ucngeweza niona tena kwa yaliyotokea.NAKUPENDA"

  lakini bila kugundua amekosea namba anaendelea kuchart tu.UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI.
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo nikuchukua hatua tu maana ushahidi unao. wewe mwenyewe na principles zako za maisha sasa, kunyoa ama kusuka.
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hv mapenzi ya kuact bado yapo?
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ukiona manyoya?Source:kongosho!
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapo chakufanya ni kujipanga tena shukuru kwakuyajua kua unakula na mwenzio.
   
 6. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  No real luv this day man.
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  anamaliza kukosea msg hiyo ...then anakwambia dear tukalale...ana kuhug....ndomana watu wanaua mmmhh
   
 8. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kizuri kula na wenzio ingawa inauma teh teh teh
   
 9. salito

  salito JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Mhh pole sana..
   
 10. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  maamuzi magumu yanafuta tu siulizi jamaani
   
 11. nemic4u

  nemic4u JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Waweza amua kunyoa but cjui utaacha wangapi maana cku hizi waaminifu ni wachache sana au tuseme tu hamna!
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapo lzm nimuweke mtu kati anipe maelezo kabla sijaamua chochote,
  Na maelezo yake ndio yatanifanya nijua cha kuamua coz hiyo ni msg tu ambyo hainihakikishii km ameshanisaliti tayari au kuna mtu ndio anamendea na mengine mengi,

  So hapo ni kuvunja ukimya na kuelezana na maelezo yake ndio yatakusaidia kufanya maamuzi na sio kukurupuka kuachana bila kutafuta chanzo cha matatizo alafu badae ukiujua ukweli ndio unaanza kujuta.
   
 13. h

  hayaka JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  inauma sana!
   
 14. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  baada ya kufatilia nikagundua kuwa huyo jamaa aliemtumia msg walikutana DAR...na akamwambia kuwa hakuwa na mpenzi alitendwa...na baadae wakawa na mahusiano kabisa...baada ya muda akamkuta huyo jamaa na mwanamke mwingine wakagombana lakini wakapatana ...yule mdada waliachana kitambo....
   
 15. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Haloo! Sasa unataka nini na ushaambiwa kafumania hawara wake na kasemehe? Hapo wewe uko "just in case.....". Bwana eh, akili za kuambiwa changanya na za kwako.
  Angalizo: Kama ni mtu wa imani kama mimi,ningezama kwenye maombi. Mungu wetu aliye hai hashindwi kitu
   
 16. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  :smash::smash::smash:...............mkuu na wewe jiandae kuumizwa hapo, kama alivyosema mwenyewe hachukulii serious......... so changanya na za kwako
   
 17. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Dearest muulize kwann kakufanyia hivyo bt please dnt leave her huwenda anakupenda wewe zaidi, ujue sisi wanawake 2napenda kuwapa maneno matam wanaume bt it doesnt mean we love them mfano nikiwa facebuk napenda kudhihak wanaume wanaopenda nitongoza ovyo hasa kuna kipind nasahau futa msg imagne ndo mpenz wangu anazikuta si ataniua jaman? Bt wale naochat nao wala siwapend ibilisi na ukahaba wa maneno bt i dnt practise them in realite, and ni mpenz wangu tu ndo naempenda na kumheshimu, pls ongea nae kwa makin na msikilize, akikupa majibu ya kuridhisha msamehe tafadhali, two wrongs dnt make right.
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kaazi kweli kweli,....
  una sahau tu,then assume ni dada yako ana chat na boyfriend wake.
  Haiumizi hata kidogo.
   
 19. m

  mkazamjomba Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusoma hujui hata picha jamani?
   
 20. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Piga nyama chini hiyo!!
   
Loading...