Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo hakuna fomular brothers hizi ni TIPS MAKINI

1 ) vaa upendezavyo kama kibonge usivae ma oversize vaa nguo zina kushika kiaina mwili , pia vaa rangi za kung'aa kama red ,njano au meusi ya
kupendeza .
2 ) kuwa msafi always

3)tumia low tone uongeapo na wakike.

4)sikiliza 60% ongea 40%.

5)simama ukitaka kumsalimia

6)kamwe usifanye jambo linalo ashiria hisia za ngono ,mfano kupekesha kwa kidole ,kukonyeza,badala ya kusema anabambataa sema ameumbika .

7)kuwa on time hata mabo ya kipuuzi ,mfano akiulizia movie mpe kwa muda uliotamka

8) kuwa mcheshi kwa rafiki zake kuzidi yeye.

9) wadau tuongezeane maujizzzz..............!
 
Je? we ni Me au Ke?
 
haahahahhaha hiyo namba moja mie hoi......kumbukeni tuko tofauti jamanihahahahahhahahhha!!!
 
haahahahhaha hiyo namba moja mie hoi......kumbukeni tuko tofauti jamanihahahahahhahahhha!!!

Na ndo maana nikamuuliza jinsia yake ili niweze kuchangia vizuri lakini kaingia mitini... Hapo pia umesema vyema ingawa hukutupa comment zako... ni vizuri ukatuelimisha hapo kwenye no 1 wewe kwako tuweke nini? Lizzy yeye ka adapt yooote sasa wewe nifanyeje ili nikunase?
 
Aise hebu ngoja nikafanye uswafi wa mwili kumbe kupendeza nayo ni category mojawapo
 
Mkuu na wale ambao hawazuzuki na sijui movie na mazaga zaga yako hapo juu na wala hawaaangalii uswafi wa mwili wako wala the way unavyoongea wala hawajali kama unapiga kelele au unaongea nao unawaweka katika kundi gani. Wao wanampenda mtu the way alivyo na sio sijui kutumia kigezo gani
 
me tena halisi ww mcchana au mwanamke

1. Nitake radhi kwa kunipa option feki na ya kunidhalilisha
2. Kama wewe ni me then nakupongeza kwa utafiti makini maana nilitaka kujua kama unaongea from your personal experience (of being in that sexual category) kumbe ulipasi mtihani mahali fulani na sasa unatuelimisha...... lol. tutajitahidi.... Nasikia pia kama unavuta Fegi ndo sumu kabisa hawa viumbe (walio wengi) hawamaind.
 
1. Nitake radhi kwa kunipa option feki na ya kunidhalilisha
2. Kama wewe ni me then nakupongeza kwa utafiti makini maan nilitaka kujua kama unaongea from your personal experience kumbe ulipasi mtihani mahali fulani na sasa unatuelimisha...... lol.

Mkirua nimekumiss
Ile chocolate imeisha bana niletee nyingine
Speaking from the point of view and unexperience one
 
unawaza tu kuwavutalia wanawake kitandani, heby fikiria kuboresha maisha ya Mtanzania asiye na chakula, maji, umeme wala mafuta
 
Back
Top Bottom