mwanzoni nilifikiri labda ni mi peke yangu ambae huwa hadi nirudi usiku ndo ntandike (kwa sie bachalaz..lol)
ha! jana kwa bahat mbaya sana tumerud na shem mke wa bro toka ofisini..ile kuingia...
tawapa ka stori kamoja ili niweke clear haka ka thread,
"Kwenye account yangu ya fb kuna msichana ambaye basically aliwahi kuwa gf wangu, yes she was my first love and probably the best love ever...
Wapo watu ambao hua tunawafananisha kwa muonekano, namna ya kuongea, kifikra au walivyo tu kiujumla na watu wetu wa karibu au tunaowafahamu tu.
Hii inaweza ikasababisha mtu akawa na hisia mbaya...
jamani wana jamii kuna site mpya ya kutafuta mchumba ya east africa.join na uwanze kutafuta mchumba
Online Dating at Swahili Singles
ni site mpya,lakini inakuwa haraka.....jiunge ili network...
Asha Bani
HIVI karibuni vyombo vya habari viliripoti taarifa za kuwapo kwa mashine ya kunyanyua matiti ili yaweze kusimama kwa yale yaliyoanguka.
Licha ya vyombo vya habari kuandika suala hilo...
Jaman wadau naomba mnisaidie kuhusu hili jambo,nlikua na mwanamke/mpenzi wangu nlikua nampenda sana kupita maelezo.Ikaja ikatokea akaanza kunibadilikia,visirani kila saa tukiwa na miadi haji bila...
Ilikuwa ni siku ya Jumamosi, na ndio nilikuwa nimetoka Benki kuchukua mshahara wangu wa kwanza baada ya kusota kwa takriban mwaka mmoja bila ajira. Kwa mwaka huo mmoja niliokuwa nje ya ajira baada...
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!
Ni kwanini...
Mwisho wa mwaka jana nilimpata my soul mate mwanamke ambae alikizi kila kigezo nilichohitaji kwa mwanamke, ninampenda sana nimemfanyia kila ki2 kicho ndani ya uwezo wangu, namjali sana sita weza...
Kuna jamaa yangu leo amegunduwa kuwa mkeo huwa anatabia ya wizi pesa anazotoa za matumizi anapeleka kwao. Na gharama za nyumbani zimepanda lakini huduma na chakula ni kile kile leo katika pekua...
Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za
binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story.....
Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa
hizi harakati za wanawake mwisho...
Naitwa Joseph,natafuta mchumba awe na umri kuanzia miaka 18-25,mnene kiasi,mweupe au maji ya kunde na awe na urefu kuanzia ft 4.7-6.0,dini awe Rc,elimu kuanzia kidato cha nne na kuandelea.Aliye...
Ni jambo la kawaida kwa mtu anaefanya jambo mara nyingi au muda mrefu anakuwa mtaalamu wa lile jambo hivyo anakuwa na uwezo mkubwa wa kulinogesha hilo jambo atakapolitenda.
Chakushangaza wengi...
IDADI ya watu wanaoripoti kunyanyaswa kijinsia wilayani Iringa mkoani Iringa imeongezeka huku ukatili wa kingono ukiwa kwa asilimia 29 juu ya wastani wa kitaifa wa asilimia 20. Watu 219 wakiwemo...
Habari za Ijumaa,Naomba niwaulize wenzangu,ivi unafanyaje unapokuwa na mwenza wako ambaye haelewi,yaani ulimwengu uko huku na yeye yuko huku?halafu hashauriki kwa maana anajiona yuko sahihi,hana...
akina dada zetu msikubali kudanganyika kirahisi hivyo nawapenda nyote nyinyi ndio mama zetu na ukipewa gari chukua na kadi yake litakuwa lako kweli bila kadi utakuwa umeazimwa
Ni rafiki mpya,ingawa hajawa mpenzi wangu..maana ana mahusiano na mtu mwingine.
Ila,hatuishi kujuliana hali karibu kila siku. Sasa tunapomaliza maongezi,akiwa anataka kuondoka,anamuita dereva...