Nakerwa nikimwona taxi driver wa huyu dada... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakerwa nikimwona taxi driver wa huyu dada...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by trachomatis, Mar 25, 2012.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ni rafiki mpya,ingawa hajawa mpenzi wangu..maana ana mahusiano na mtu mwingine.

  Ila,hatuishi kujuliana hali karibu kila siku. Sasa tunapomaliza maongezi,akiwa anataka kuondoka,anamuita dereva fulani kijana aliyemzoea...
  Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi.. Mpaka nakerwa driver yule anapokuja..

  Nimemuuliza kama wana mahusiano,akaruka kimanga kwamba hana!

  Ila naomba muelewe kuwa mi niko "single",yeye ana mahusiano,nayoweza kuyaita ya kudumu,na vilevile tunapenda kupeana "company"...

  Je,ni tatizo la ajabu?
  Ama la kawaida?
  Ama vipi?
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Habari za leo. Napita tu.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Njo ufanyiwe maombezi... Njo uombewe.
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  uko darasa la ngapi la mapenzi?
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mhh, nimerudi baada ya kumwona Husninyo. Ujambo bibie. Nimerudi kukusalimu tu. Nilikuwa napita.
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  waoooh! Ahsante jamani. Mzima wewe? Mi sijambo.
  Samahani trach tunachakachua kidogo.
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Utakuwa ulipotea njia...

  Nenda zako..
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Karuka kimanga.....
  Ana mahusiano parmenent.......

  Acha ujinga katafute mtu ambaye hata kupotezea muda na utakuwa na mamlaka nae.

  Kwa huyo hata akikubalia utakuwa mshika pembe tu na dogo inaonekana una wivu sana.
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Miye namshukuru Mungu mzima wa afya. Nilipita jukwaani kupumzisha akili baada ya akili kuchoshwa na habari MKANGANYIKO za Arumeru.
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kwani kunani Husninyo...

  Mbona ushauri huo!
   
 11. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Sasa ni kipi kinachokukera hapo wakati umesema ana uhusiano wa kudumu? Natarajia wa kudumu maana ana boyfriend wanaishi pamoja au anae mume.
   
 12. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sijui.. Ila huenda, nina PhD... Ila si unajua mapenzi yalivyo?
  Hayana mbabe..
  Hayana msomi...
  Hayana mwerevu...
  Hayana mjinga....
  Hayana ****...
  Hayana stadi...
  Hayana mjanja..
   
 13. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe bwana mdogo unajifunza mapenzi nini!!!! Jambo unalouliza ni la kipuuzi tu. Ndiyo maana wengine wamekujibu kwamba wanapita tu.
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Heh... sikujua neno fudede liko censured!

  (Is that a correct word?)
   
 15. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hujaijua njia unayokwenda ndo maana!
   
 16. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Ptuuuuu, upuuzi tu! Ndiyo tatizo la jf vitoto vidogo vinajumuika na wakubwa.
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hee! Pole sana, usipende kufatilia sana hayo makitu. We penda mmu na chit chat. Siasa tupa kule.
   
 18. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mnakaribishwa...

  Hope Judgment na Goodluck wanafahamiana..
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  umeupenda ushauri wangu trach?
   
 20. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa. Lile jukwaa ukikaa nusu saa tu utafura kwa hasira na BP juu. Bora huku.
   
Loading...