Mara nyingi nasikia mahusiano kati ya wapenzi lakini 'no strings attached'
najaribu kuyaelewa lakini nashindwa, kwani maana yake halisi ni nini?
Inafananaje au kutofautianaje na 'sex...
Nina mpenzi wangu mmoja ambaye nimekaa naye takribani miaka miwili. Mpenzi huyu pamoja na kukaa naye muda ule, ukweli ni kwamba simpendi na yeye ni king'ang'anizi kiasi kwamba nashindwa kupumua...
Inaendelea toka sehemu ya 5 ...
Naitwa Angel, Naweza kuongea na HorsePower? Iliuliza sauti toka upande wa pili. Mimi ndiye! Nilijibu kifupi. Jamaniii, Unaumwa? Kwanini? Si sauti ya HP...
Habari za leo wana jamvi? mwenzenu mi si ,mpangiliaji mzuri sana wa thread ila ntajitahidi kwa kadiri niwezavyo.
Ni hivi last month kazini kwetu walikuja wafanyakazi wapya 4 (wote wa kike).katika...
Ndugu zangu habari zenu. Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Leo ninaona niwafahamishe jambo lililonitokea.
Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha (mke) nilikutana na binti fulani ambae...
What people call love is actually a state of mental condition that causes a person to create and operate in an unfounded sense of security.
Love is a perfect state of attitude/feelings towards...
Jana kupitia ITV, nilisikia ushuhuda wa dada mmoja kwa jina la Zainabu kama sijakosea ambaye alikuwa anaishi na mchumba wake Mwanajeshi aitwa Hassan, huko Tanga na kuhamia Dar. Baada ya...
Kitanda ni kitu ambacho watu wengi sana hawajui nguvu yake kwenye kujenga mahusiano Bora yenye kuvutia. Jinsi kitanda kinavyotandikwa, aina ya mashuka yanayotumika,Rangi zake, yalivyoshonwa,usafi...
Tangu zamani na hata leo kwa baadhi ya watu wanamchukulia mwanamke anapomsumbuasumbua mwanaume ndo inakua bomba na wameichukulia hiyo kama tabia ya kike hasa!Lakini mtazamo huu umepata upinzani...
huyu dada ananisumbua akiwa monthly service ya kumwaga oil anataka nimuwashie jenereta eti kwa kigezo kuwa ndio matokeo ya mgao.namwogopa mungu.yale yale ya sodoma na gomora.nimefunga mkataba nae...
hii ni seriouz,me kijana 23yrz,nina mapenz ya kweli kbisa kwa ataenipenda..nina elim nzuri,sina kaz bt kusaka naweza,so natafuta bint asiwe mnene, anaejiweza i mean ana kazi,ataenipenda as...
.....ninaishi mbali na mpenzi wangu.... Nimetofautiana nae jioni ya leo..... kama mnavyojua mapenzi ya mbali hayakosi wivu.....
...baada ya kutoelewana kwa muda....akatuma hii msg...
..."YAANI...
Heshima mbele wakuu.juzi nikiwa zangu kwenye moja ya lecture hall maarufu hapa chuon kwetu nikisubir pindi lianze,nlibahatika kunasa maongezi ya wadada flani hvi ambao walikua wamekaa jirani...
1.Its important to have a woman who helps at home, cook, clean and have a job
2. its important to have a woman who can make you laugh.
3. Its important to have a woman who trust and doesnt...
Kwenye familia nyingi (mimi nazifahamu tano) watoto wasipoangaliwa kwa ukaribu wanaweza kuwa na Mahusiano ya kingono bila wazazi wao kufahamu au kuja kufahamu wakati yule wa kike atakapopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.