Hili jina mbwa weee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili jina mbwa weee!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jonogomero, Mar 1, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha leo tena cloudz, hoja ilikuwa kwa nn wazazi wanapenda kuita watoto zao mbwa! Mbaya zaidi kibongo bongo kila mtu labda ameshawahi kuitwa mbwa na mzazi. Je ni haki kumuita mtoto mbwa?
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hapo hakuna malezi...hawamjui Mungu ndo maana wanatumia maneno yasiyo na upako....
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sio haki kuitwa mbwa, na unaeza kumshtaki huyo aliekuita hvo hata kama ni mzazi wako...
   
Loading...