Nimpende nani? Nimpendeeee eeeh?!!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Wadau kwa kuzingatia nature ya jina langu, mambo yangu etc je mwazani ni binti gani humu wa MMU twaweza make couple? I mean kijina jina tu (by combining names). Mfano RICHARD + TATIANA = RICHANA! GAGURITO +? = ???
Just for funny, sio serious kivile teh! teh! KAMA VIPI NAWE MAKE COUPLE NAME YAKO!
 
Humu kuwajua nani dume na nani binti mgogoro...labda tutaje tu ila ukimwambia mtu ye ni binti kumbe sio atatumaliza
 
Tatizo humu ndani tupotupo tu,naweza kusema fulani akakufaa kumbe ni Dume,au mke wa mtu !!!!!!!!! vita yake ni kali
Hata hivyo nadhaniiiiii fulani atakufaa mhhhhh ngoja niishie hapa. Nashindwa kuandika jina.
 
Mfano ukichukua

MTALINGOLO + ________= MTALIBANA....

Kumbe tunaendana na huyu bishost, ntajitahdi ni M-PM...
 
Wadau kwa kuzingatia nature ya jina langu, mambo yangu etc je mwazani ni binti gani humu wa MMU twaweza make couple? I mean kijina jina tu (by combining names). Mfano RICHARD + TATIANA = RICHANA! GAGURITO +? = ???
Just for funny, sio serious kivile teh! teh! KAMA VIPI NAWE MAKE COUPLE NAME YAKO!

(ki)ng'asti + (gagu)rito=kigagu

got what you wanted?lol!
 
Humu kuwajua nani dume na nani binti mgogoro...labda tutaje tu ila ukimwambia mtu ye ni binti kumbe sio atatumaliza

Huhuhuhuhu! Mbona wanafahamika? Wasi wasi wangu ni kwa Nyani ngabu, yule ni kidume!
 
Back
Top Bottom