Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,011
- 9,879
Hivi ni kwa nini watu wanapenda kwenda nje ya mahusiano(kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja)
Kutokana na tamaa zao tu za kimwili,kipesa,umaarufu,kutaka mambo makubwa kuliko uwezo wao,ulimbuken,hobi,fashen,kuiga na wengine ndio wanavopenda na kuona ni ufahari tu.Hivi ni kwa nini watu wanapenda kwenda nje ya mahusiano(kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja)
Sababu ni nyingi.Siku hizi ndoa nyingi ni ya kulazimishana. Kwa mfano wanaume wengi siku hizi wanalazimika kuoa bila kupanga kufanya hivyo. Unakuta mwanaume ana uhusiano wa kimapenzi na msichana huku akiwa hana mpango wa kumwoa lakini kumbe msichana anakuwa ameshapanga kumtega. Kwa hiyo mwanaume wa namna hiyo akimwoa msichana huyo hatakuwa na mapenzi ya kweli. Pia wanawake wengi wakiingia katika ndoa wanashindwa kuonesha mapenzi ya dhati kwa waume zao. Wanakuwa wananuna mara kwa mara. Kwa hiyo mwanaume anaanza kutafuta nyumba ndogo.Pia kuna suala la kuridhishana katika tendo la ndoa. Wanaume wengi hushindwa kuwaridhisha wake zao katika tendo la ndoa. Kwa hiyo wanawake hulazimika kuwa na wanaume wa nnje.Kwa upande wa wanawake wapo wengine wanapofanya tendo la kujamiiana na waume zao wanalala tu bila kushughulika.
Wanawake wameisha kuwa wengi, wewe hata kama huwataki wao watasema wameisha tembea na wewe, bora uwachape fimbo watanyamaza kimya.
Usizini hili ndiyo key word
Wapenz wamekua waongo.
wengi hufikiri ya kuwa wao ndiyo huwanajisi wanawake..........................kumbe wanawake ndiyo hutunajisi sisi na kutuharibia maisha kwa kutuachia.........
wengine iko damuni ni hulka yao