Eti wadada zetu wanatumia masikio sana kuliko macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti wadada zetu wanatumia masikio sana kuliko macho

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kokwa kavu, Mar 1, 2012.

 1. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Unaweza kukuta mdada anakwambia bwana yangu anamiliki vx v8 wakat gar yenyewe ina no za stk kisa jamaa kamwambia ni gar lake na anamfataga nalo jion kitaa au ni uvivu wakusoma namba
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,257
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Labda huyo demu awe below form 4.
   
 3. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Dem mwenyewe anasoma ud afu cio wa kwanza
   
 4. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Idiot X Infinity!
   
 5. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Alye lala usimwamshe. Ukimwamsha utalala wewe.

  Mwache ajidai. Her days are numbered though she does not read the plates.
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,002
  Likes Received: 1,883
  Trophy Points: 280
  Hata likiwa na no. za JWTZ wao hawaangalii,watakufagilia tu kwamba una gari.
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Sema dada yangu anatumia masikio. Usitujumilishe wote kwa mfano wa mtu mmoja.

  Yani mtu ushindwe tofautisha STK, STJ, DFP, CD plate numbers kuwa si ya mtu binafsi..tena kuna namba za kawaida ni usalama na hawaweki stickers za insurance kwa vioo nk. Mwingine anaweza kuazima gari yard/kwa marafiki kuringishia.
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  heri usafiri bwana.mwanaume usafiri bwana hata kama ambulace sisi tunafagilia mshika usukani
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180

  Smile habari yako aise
  Mi mgeni hapa naomba unionyeshe njia ya kupita
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  kumbe ndio maana huwa wanapenda hasa nikipita kitaani na gari la baba nshajua sasa..
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  una ugeni gani/premium mzima? au mgeni wa mabo ya magari
   
 13. S

  SI unit JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
 14. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh...... hiyo kali. Kumbe mtu anaweza kwenda na roli la mchanga na bado dada zet wakashoboka...........
  Tamaa zitaua wengi kwa mfumo huu
   
 15. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kwan mnajal hlo cmrad uwe sit ya mbele umefunga mkanda unapulizwa na ac za mdokezo ya mafuta
   
 16. Kokwa kavu

  Kokwa kavu JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
Loading...