Aukata Uume Wake Kuwakomoa Wanawake Wanaomgombania

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Rombo Moshi Kilimanjaro, Bw. Priva Elian (29) amekata sehemu zake za siri na kuziondoa kabisa kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Amefanya hilo kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili.
Wanawake wawili wanaomgombea Priya kiasi cha kumkera na kumfanya afikie uamuzi huo wa ajabu kwa watu wengi. Tukio hilo limetokea Februari 27, mwaka huu saa 1:30 asubuhi baada ya kupandwa na hasira kutokana na usumbufu mwingi aliokuwa akiupata kutoka kwa wanawake hao.

Mara baada ya kuchukua uamuzi huo, alimwita mdogo wake na kumweleza kuwa achukue nyeti hiyo na kuwapelekea wanawake hao ili waigombee. Wakati huo huo, kutokana na kuvuja damu nyingi, majeruhi huyo alipelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Huruma iliyopo wilayani humo akiwa amepoteza fahamu na hawezi kuzungumza.
Aukata Uume Wake Kuwakomoa Wanawake Wanaomgombania
 
Mmh wachagaaa, kubana hela mpaka silaha....

Huyo ni nyamb''afu kabisa.. hao wadada walikuwa hawataki hako ''kajiukuni'' chake walikuwa wanataka mawee/mabovu/mshiko/njuruku/mapene... Sasa kama mjanja kweli achome moto hela zake zote aone kama atafuatwa na mtu hata mmoja.. Pumbav zake... Atakufa na utamu wake kama muwa vile
 
hatujaambiwa, walipopewa vipande vya nyeti hao wanawake waliendelea kuvigombania au ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom