Hivi kwa nini nani anayesababisha ndoa za sasa kuvunjika Mke/Mume?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini nani anayesababisha ndoa za sasa kuvunjika Mke/Mume??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Feb 29, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kuchunguza mara nyingi nimekuja kugundua kunatatizo katika kizazi hiki cha leo,
  Moja ya tatizo lililopo nikutokomaa kwa ndoa za sasa kutokana na wengi wao ndoa zao kuvunjika kabla ya umri!je tatizo linaanzia wapi??je ni kwa wanawake au kwa wanaume??au ni wanawake wameendekeza masilahi binafsi pasipo kuangalia umuhimu wakuwa na mume?
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,094
  Likes Received: 2,975
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni wote kwa namna tofauti!
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 9,571
  Likes Received: 5,004
  Trophy Points: 280
  Wanawake wamechoka kuwa ndio mzee!Wanaume ndo wanabip,wanawake wanapokea.
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ebu fafanua basi na wewe......! Mbona kama vile una haraka sana, hicho kitanda kipo tu wala hakihami....utaenda tu kulala lol!!
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni :-
  vitandawazi (globalisation)
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,965
  Likes Received: 5,109
  Trophy Points: 280
  tatizo ni la wote 2...
   
 7. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  tatizo ni kwamba mwanaume na mwanamke wanachaguana then ndo wanamshirikisha Mungu, badala ya kumshirikisha Mungu katika kutafuta mme/mke mwema kwanza! Ahsante
   
 8. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndoa zinavunjika kwa sababu hakuna subra au kama wanavyo sema wengine uvumilivu...wanawake/wanaume tamaa mbele sana kwa kila kitu, mwanamke/mwanaume wanafunga ndoa bila kujua nini mana ya ndoa, hilo ndo tatizo la kwanza...yani dini ni zero.
   
Loading...