Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii kitu husumbua sana watu mahabuba. Haijalishi mliachana vipi lakini kurudiana huwa ni ishu pevu.........those good old memories hufanya hata sababu za kuachana zikasahaulika. Shida ni pale...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wanawake wengi tumekua malaya bila kujijua. zamani bibi zetu walikua wakisubiri waolewe na wawe waaminifu kwa waume zao. sasa ukibikiriwa na miaka 15 mpaka uolewe wakati una miaka 30 si unakua...
2 Reactions
128 Replies
27K Views
'Mwenzangu nimeshindwa mimi. tatizo sio ukubwa, shosti jamaa anayo ndefu, imepitiliza yaani wakati wa majambo ni maumivu tu na ukilia mwenzio ndo anaongeza kasi. Nimeshindwa kila nnapo mwambia...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Nina dem wangu ni nesi,mara zote shift zake zote ananiambia na tulikuwa tunakwenda samba. Hapa kati akaanza kunipa ratiba isoeleweka. Juzi nilipanga kukutana nae eneo letu tulilozowea na...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nahitaji msichana mwenye mapenzi ya kweli na si ya msimu,vigezo,awe mhaya,mkristu na mwenye kazi yake ama kajishughuri ka kumwezesha kuingiza kipato ili maisha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Inafahamika kuwa,inapotokea mtoto akazaliwa "nje ya ndoa",mtoto yule ndo anaadhibiwa kwa kuitwa jina baya sana,eti mtoto haram(silipendi kabisa jina hili).Pia mwanandoa mmoja anapocheat na...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Unajamaa ambae muko nae sambamba kwakila hali unamtimizia nae anakutimizia hana mtu mwingine zaidi yako hiyo imekaa kama mke na mume japo ndoa bado ,lakini katika tendo la ndoa mmekubaliana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna Watu wanakuja katika maisha yetu baadae huondoka Kuna Watu wanakuwa marafiki zetu kwa muda tu baadae hutoweka Kuna Watu wanakuja katika maisha yetu baadae huondokahuku wakiacha...
5 Reactions
74 Replies
6K Views
Jamani kwa nia njema tu, niko nafanya kama kautafiti kujua kwa nini wanaume wanapenda kutoka nje ya ndoa!Na je mtazamo wa jamii kama mume na mke wakitoka nje ya ndoa unafanana au ni tofauti...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
salaam wana jamii! katika pita pita zangu nimekutana na site ya swahili,dating site........... 100 people to join will get 2years Gold membership.jina la site ni Online Dating at Swahili Singles...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ninarafiki yangu ametoa mahari mwanzoni mwa mwaka huu na anategemea kuoa early June this year ila kuna kitukimoja kinamtatiza sana nacho ni wakati gani unafaa kwa yeye na mchumba wakekupeana...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
kuna rafiki yangu amenipa website ambayo yeye ameitumia kupata mchumba au waswahili wanasema totoz....sasa wana week kama moja hivi...... jamani chukuwa time yako kama dakika 3 hapa Online...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi wana jf,natumai mko poa nafikiri ni wakati sawia kueleza haya kipi kitakuwa bora kuonyesha mapenzi ya dhati kwa msichana na kukubaliana na vyote atakavyorespond au kutojihusisha na suala la mpz...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
‘Ni mwaka sasa umetimia tar kama ya leo 28/3/2011 nilipoondokewa na wewe mwanangu kipenzi IKUPA MWAKYUSA (14yrs) pale Lugalo hosp,najua ulilala tu na sasa umevikwa mwili mpya usiokufa ukipumzika...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Leo asubuhi nilienda mpeleka mtoto wangu hospital alikuwa na ki homa homa, na dr mmoja wakike kila wakati ananichekea afu anamsifu mtoto wangu wa kume anasema huyu ni handsome kama baba yake. Cha...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Haya sio maneno yangu bali ni ya mbunge wa Kawe Halima Mdee kuwa wasichana msitegemee rushwa ya ngono kutimiza ndoto zenu za maisha. Mdee amewataka wasichana kujiamini na kutokutemea kutoa rushwa...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na bado element za love zipo kwake, nilianza nae 2007 nikiwa f5 tuliishi vizuri na mimi nilikua wa kwanza kwake,penzi lilikuja kuingia doa 2011 pale...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Asanteni kwa msaada wenu.......
0 Reactions
133 Replies
8K Views
mwanzoni nilifikiri labda ni mi peke yangu ambae huwa hadi nirudi usiku ndo ntandike (kwa sie bachalaz..lol) ha! jana kwa bahat mbaya sana tumerud na shem mke wa bro toka ofisini..ile kuingia...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
tawapa ka stori kamoja ili niweke clear haka ka thread, "Kwenye account yangu ya fb kuna msichana ambaye basically aliwahi kuwa gf wangu, yes she was my first love and probably the best love ever...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…