"Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtoboasiri, Mar 1, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  .....sentensi nimekuwa naisikia sana kutoka kwa kina dada walio single. Funny enough, kuna kina dada wapatao watatu niliowahi kuwasikia kwa masikio yangu (nafanya nao kazi) wakitoa kauli kama hii lakini eventually wamezaa na waume wa watu (of course sio kwa wakati mmoja na si na mume mmoja but over a period of four years).

  Kuanzia jumatatu ya wiki hii nimekuwa nafukuzia kupewa assignment fulani na taasisi fulani. My contact kwenye hiyo taasisi ni mdada mmoja mrembo kweli ila hajaolewa. Nilimualika kula pizza pale Piccasso - wanaoifahamu Arusha wanaifahamu ilipo - jana jioni ili kujenga mazingira ya mimi kupata hicho ninachokitafuta (mwenye influence na maamuzi ni immediate boss wa huyo dada). Tulikula pizza na kuongea vitu viwili vitatu - social na professional - na kauli ya "kuogopa sana mume wa mtu" ika-crop up. Baada ya mlo kila mtu akachukua time. Mchana huu nikapata sms kutoka kwake akiniuliza: "Umeoa? Mimi naogopa sana mume wa mtu and I want us to be careful if you are married".

  Au mimi sielewi maana ya "kuogopa sana mume wa mtu"?

  JUST THINKING ALOUD!
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kamanda huyo kesha kutaka hivo.Hiyo sms yake wala usiijibu kikamilifu...just tell her..'hahahaha tukionana nitakueleza',just to keep her interest alive,mkionana baada ya glass mbili za wine anza kumwonyesha huzuni jinsi mkeo anavyokusumbua na kukufanya utamani uhame inji,mweleze unavyojuta kuoa,mwambie mnalala different bedrooms,atalainika tu na ataanza ku feel sympathy,e bana e hata akitaka ahadi ya ndoa we mpe tu,akikuuliza ...'are you ready to dump mama kayai for me?',we kubali tu mradi ulambe mzigo,mengine atajijua huko mbele ya safari kudadadeki.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nilijua tu kwenye hii thread lazima utakuwa wa kwanza kupost...:lol::lol::lol:
   
 4. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,124
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Du wewe kwa kamba ni kiboko!.
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nani kakuambia wanaogopa waume za watu, hao ndo wanawataifisha kabisa.

  Vipi yule cashier wa piccasso naongelea yule mrangi bado yupo? kama yupo masalimie sana mwambie fazaa anasema hello ka miss pizza, atanijua tu.
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,653
  Trophy Points: 280
  Dunia bado mpya kumbe!
   
 7. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Michael Scofield likes this
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mkuu Bishanga, kuna vitu hajaribiwi ati! One may end up being enslaved!
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahaha!! Dunia ni ya Bishanga...Na chaguo ni lake...
   
 10. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  huyu sasa mbona kishaingia mwenyewe kwenye 18 zako? yaani hapo ni sawa na kumsukuma mlevi tu
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ndicho ninachokiogopa!
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  inakuhuuuu?????
  btw SL hajambo?
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  usiogope bana,kuwa jasiri,explore the world,au unasubiri uzeeke kama DC?
   
 14. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mzingue mpaka ule mzigo man we kama mkali kwani umwachie akatize piga halafu mwambie ukweli utaona kama hajakwambia muendelee kwa siri
   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  hahahahaha Khaaaa Bashaija
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mkuu fuatilia kazi kwanza. ukishaipata ndo umpe zawadi ya ushindi. Huyo ni kuku wako usiwe na haraka naye wala nini. Lakini angalia mkeo asijue kama umeanza kutolea macho wasichana wa nje. Hata ukimchoma heshima ndani ya ndoa ibaki pale pale hata akikukatania mauno vipi.
   
 17. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuogopa hapo haimaanishi kutotaka. Kama ni mumu wa mtu basi she has to be extra careful.

  Aweze kuku kula at the same time kwa siiiiiri sana.

  Maisha ya Arusha mie nayaelewa. Veeeeery intricate. Na mji wenyewe sio secretive. Lakini wanawake wa huko ni veeeeery sexy. Mfurahishe nae atakufurahisha. TUMIA SAFE SEX.
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  So,mkuu una mu-offer rushwa ya ngono ili akusaidie mambo yako?
  au hii statement haitumiki kwa wanaume?
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Now, why didn't I think about this before? You must be a genius!
   
 20. S

  SI unit JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Dunia ya ** chaguo la **.. Chagua kuheshimu {sio kuogopa} wake/waume wa watu!
   
Loading...