Anatamani.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatamani..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SI unit, Mar 3, 2012.

 1. S

  SI unit JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wajamen habari yenu! Naomba niwashirikishe hili jambo ili mnipe mawazo/ushaur wenu. Kuna jamaa yangu alikua na rafiki wa kike, walikua na urafiki tangu primary na urafiki ulianzia kwenye kufundishana kwan jamaa alikua madarasa matatu mbele ya huyo dada kwa hiyo alikua anampigia "tuit" hususan ya hesabu. Jamaa alianza kumpa promis ya kumuoa kwa hiyo alimsisitiza asome kwa bidii ili waje kuwa na familia bora. Kwa bahati nzuri mshkaj alifaulu na kwenda shule boarding mbali na mkoa wao, mawasiliano ya barua (miaka hiyo) yakawa ndiyo kiunganishi kikuu kwao. Jamaa akiwa form 3 dem ndo alikua form 1 kwenye shule ya kata, miaka ikasonga hatimae jamaa akafika university bahati mbaya dem hakufanya vizuri form 4 therefore akaenda ualimu! Kumbuka jamaa hakuwah kumega mzigo so anajua mali bado ni mpya. Temptation za kula "mzigo" zikamnyemelea, lakini kila akiomba anabaniwa na kuambiwa wasubirie ndoa kama ilivyo ahadi yao. Kupenda kubaya, jamaa akatulia! Wakati dem anamaliza college hakumaliza miezi mitatu akajifungua toto la nguvu la kiume. Mshkaji aliumia sana coz yeye alikua bado ni "bikra" akiamini watakuja kuzinduana na "his expected wife". Hapo ikawa total CONFUSION! Akaanza kuwa malaya, mitaa yate ya machangu alijulikana, kidogo angedisco chuo akiwa mwaka wa 4. Baadae akajirudi, akajitambua na ameoa kwa sasa! Yule dem wake wa primary amemtafuta, na anamsumbua sana! Anamwambia anajutia ujinga aliofanya kwan mwanaume aliyezaa nae alikua anamfukuzia mda mrefu but alimwonesha msimamo! Kosa alilofanya alikubali mwaliko wa kwenda nyumbani kwa huyo mwanaume, akachezewa "raf" na kufanyiwa mautundu ya hapa na pale mpaka mwishoni akapata temptation na kujikuta ametoa "tunda". Ndiyo siku hiyo pekee ilimfanya aje kuitwa mama, yaan kubikiriwa na mimba juu!
  Moyo wa huruma unamwingia jamaa lakin ameshaoa. Bint anamwambia anaomba awe hata nyumba ndogo yake (hajaolewa mpaka sasa na anasema hataki kuolewa) na hatamsumbua wala kuvunja ndoa yake. NI KISA KIREFU ILA NIMEFUPISHA. Ushauri wenu tafadhali. Binti anasema natamani..natamani..kurudisha siku nyuma ili nijikosoe pale nilipokosea!
   
 2. G

  GENDAEKA Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi toka azaliwe(ngono)nae anaitwa bikira?
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Si amsamehe tu, yeye alitaka mke au bikra? hayo makosa yanafanywa na kila binadamu. Shauri la kumchukua kama ni nyumba ndogo ni gumu ikiwa jamaa keshakuwa na family yake, anachoweza kukifanya kama ubinadamu ni kumsaidia huyu dada ajikomboe lakini halazimishwi kurudisha mapenzi ikiwa hayapo tena.

  Mimi la nyumba ndogo sishauri..
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwambie jamaa awe anakula vitu kama mke wake yuko kwenye period :biggrin:

  Asiowe mana huyo kisha chezewa rafu nyuma, huyo wakufanya nae mazoezi tu wakati yuko free.
   
 5. S

  SI unit JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimetumia hilo neno kwa ku"emphasis" but am not sure kama wanaitwa hivyo
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Naona hujaelewa story hiyo rudia tena.
  Ambaye alikuwa bikra ni mwanamke alikuwa anambania mshkaji matokeo yake kuna kidume kilimpa mwaliko kikamega siku moja na siku hiyo hiyo mimba jamaa alichanganyikiwa akiwa chuo.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu jamaa awe anajifunzia mazoezi madogo madogo ya viungo
   
 8. S

  SI unit JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Point taken madame
   
 9. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Wewe na yeye mkasilize wimbo wa DUSHELELE wa ALI KIBA humo yamo majibu
   
 10. S

  SI unit JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Si anaweza kukolea na kusahau familia yake? I mean ule upendo wa zamani unaweza kurejea, akaanza kupiga mwezi mzima kny nyumba ndogo. Halaf si mnajua wanawake wa nyumba ndogo wana mbinu chafu? Jamaa anashindwa kuelewa kwa nini huyo mdada ametamka wazi kuwa anataka awe nyumba ndogo yake
   
 11. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Mkasikilize DUSHELELE by ALI KIBA humo kajaza maushauri ya mambo kama hiii
   
 12. S

  SI unit JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama una hiyo mistari iweke jamvini tafadhali, wengine humu ni hobbyless na bongofleva
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Nashauri jamaa ajifunzie kwa huyu demu kula kuku mtamu
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Nyumba ndogo hii mkuu itamuimalishia nyumba kubwa yake, kama nyumba kubwa inakibuli aidha cha kukataa kuamka usiku jamaa ale mzigo nyumba ndogo itamfanya ajitume
   
 15. S

  SI unit JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kuimarisha au kuvunja mkuu, naomba ufafanuzi hapo tafadhali
   
 16. S

  SI unit JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Duh! Haya bana..
   
 17. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Ndo maana mnakutana na bahati mbaya kwa uvivu wa kufikiri na kujifunza kama huu. Unafundishwa kuvua samaki we unataka upewe alokwishavuliwa...hilo ni somo nakupa we unaleta mambo ya Hobby....

  This is a necessity......forget about hobbies linapokuja suala la maisha
   
 18. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  nyumba ndogo? you cant be serious!
   
 19. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  jamaa aendelee na maisha yake tu.... haya mambo ya kusympathize na kuanza ku-rationalize na kutafuta justification za kurudisha uhusiano na huyo binti zitam-cost big time
   
 20. S

  SI unit JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nimekusoma kiongozi!
   
Loading...