naomba ushauri wenu leo yamenikuta sina ujanja wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba ushauri wenu leo yamenikuta sina ujanja wana jf

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jane_000, Mar 4, 2012.

 1. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wana jamii forum leo nimepata picha bwana wangu anakula denda na mwanamke ambaye mimi simjui nilipo muliza mwanamke wangu hii picha mmepiga wapi akasema maeneo ya mwenge na sio kweli nilivyo mbana akanipeleka sehemu nyengine ndio akasema alipo piga hiyo picha nikiwauliza wa hudumu wakasema hakuna kitu kama hicho na boyfriend wangu kasema uongo mara kwanza naomba ushauri wenu pls sitaki matani leo jane yamenikuta huyu jamaa nilikuwa na mpenda kweli naomba ushauri wenu
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kizuri shea na wenzio dada,usilie
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana mrusha na yeye hurushwa roho yake pia..
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Jane-000!, Jane-000!, Jane-000!, Nnao ushauri mzuri ka ajili yako, lakini kabla ya kukushauri, hebu kwanza tuambie wewe ni jinsi gani. Ni mara kadhaa unaandika jinsia moja halafu unajisahau unaandika jinsia nyengine. Kuna watu wamekushutumu kuwa wewe ni dume. Tuambie ukweli
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wame msahau kwenye shindano la shemale.
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hahaha! Si aseme tu, washabiki wamo humu ingawa wamejificha.
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hata mie nimesoma mara mbili mbili na kuhisi kwamba ama ni uandishi tu wa hadithi au kuna tatizo jingine!!

  Ngoja tumsubiri ajibu....ili tumshauri kwamba aache kutishwa na picha..kuna watu wanaletewa mzigo hali na kuomwa wawasindikize na bongo flava au pambio!!

  Babu DC!!
   
 8. K

  Kikombe kinafurika Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole dada ndo wanaume walivyo.
   
 9. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa mbaali jane na posts zako unashabihiana na member mmoja ambaye hatokei jukwaani aendaye kwa jina la 'NOT ENOUGH',
  Threads zako hazipati suluhisho hata ufanyaje, lazima unakuja kivingine tu. Otherwise, pole sana jane!
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha topic moja ya NOT ENOUGH kule kwa wakubwa.
  Naona alipewa BAN karudi na ID ingine.
   
 11. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi mwanamke
   
 12. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I have no idea what ur saying
   
 13. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante
   
 14. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 15. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Atakuwa bwabwa tu huyo.
   
 16. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Asante sana jane_000 kwa taarifa.
  Pili pole sana. Kwa kukupa moyo tu ni kuwa usijali, za mwizi arubaini; iko siku atajikamatisha mwenyewe.
   
 17. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Msamehe
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  mmwage tu.............
   
 19. Mkatanyasi

  Mkatanyasi Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 25
  MAMMAMIA, umemkamata vizuri huyu JANE.00, sijajua hizo zeros zina maana kaktika kudanganya kwake ama zina reflect nini katika hili.Anasema, "NILIPOMUULIZA MWANAUME WANGU" na kishs kusema "MWANAMKE WANGU" sidhani kama ni typing errors.Yuko kiutani zaidi na si kwa ajili ya msaada.Ni vyema kuwa serious sometimes.
   
 20. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Kusema kweli nimejaribu kurudia sijaelewa post yako. Umesema umenasa picha bwanako akila denda na mwanamke usiye mjua. Halafu ukasema ulipomuuliza mwanamke wako. Sasa sijaelewa
   
Loading...