Wanandoa kufanana kwa sura.

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
ni juzi tu baba na mama yangu wameadhimisha miaka 50 ya ndoa yao.Moja ya vitu vyenye kuvutia,ni pale unapoangalia wawili hawa katika uzee wao wenye siha wanvyofanana kwa sura.Ninngependa kuuliza wanajamvi ,huku kufanana kwa wanandoa kunasababishwa na nini.Kwa kumbukumbu ya picha zilizopo,inaonekana kipindi wanaoana kila mmoja alikuwa na sura yake,lakini umri unavyokwenda sura zinashahabiana.Kwanini?
 
Sio wanandoa tu, hata wapenzi na marafiki wakiwa pamoja muda mrefu hufanana.
 
Labda ndio ile kitu inasemwa kuwa wanaungana na kuwa mwili mmoja.
Maana wanasayansi wanatuambia hivi tulivyo ni matokeo ya kile tunachokula, tunachofikiri na tunavyofanya/fikia maamuzi. So kama wanashare kila katika hivi wanaweza kufanana.
Mwenye taarifa za ndani anawea kutujuza mengi zaidi!
 
50 years of marriage? that's great by any standards... kufanana is just a myth, i guess
 
ni kweli,i have a closest friend mpaka kila mtu anasema we are twins.

mi pia nilikuwa na rafiki hadi ilifikia kipindi tunajikuta tumevaa sare wakati tunafanya shopping sehemu tofauti na hatukai karibu.
 
sasa ndo mchague wanamme wenye mvuto japo kidogo.

Mtajikuta mmekuwa na sura kama handsome boy wa TZ.

Na hii ni kweli kabisa, wanandoa hufanana
 
Congratulations for the lovely sylver jubilee! May the all mighty God give them more yrs to comemorate diamond one!
 
mi pia nilikuwa na rafiki hadi ilifikia kipindi tunajikuta tumevaa sare wakati tunafanya shopping sehemu tofauti na hatukai karibu.

Mkuu, meta uzi anasema: kufanana kwa sura; siyo mavazi!
 
Back
Top Bottom