African/tanzanian woman...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

African/tanzanian woman......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rebeca, Mar 5, 2012.

 1. r

  rebeca Senior Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.Afagie uwanja wa nje ya nyumba.

  2.Aende kisimani kuteka maji(marudio ndoo kadhaa mpk zitoshe mahitaji ya nyumbani kwake)

  3.Adeki nyumba,apike(jiko labda la mkaa unapika kimoja kimoja mpaka viive mmmnh kazi.....

  4.Aandae watoto kama anao wadogo,Afue nguo kwa mkono

  ..........Jamani hivi ikifika usiku hamjachoka tu kwa ajili ya uroda???????hii topic ni mahususi kwa wakaka wa JF kuwaambia aste aste jamani mtuonee huruma TUNACHOKA ATIIIII......
   
 2. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,093
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapo mtu anafarijiwe. Mf mwanaume wa kweli anaweza akachoka but akifika somewhere anaomba kukandwa. Basi atakandwakandwa hapo mwisho wa siku mshind yeye atakae ibuka na mbili,uchovu,mchoko kwishnehi. Iko hvo hata kwa watoto nyie(wakike)
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  wameshazoea!
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,659
  Trophy Points: 280
  Wanawake wa aina hii hawapo siku hizi!!Hongereni wanawake wa aina hii,i wish nimpate mwanamke wa kiafrika!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Siku hizi kwa mwanamme mwenye huruma anamsaidia mama watoto baadhi ya kazi
  Ama tunaweka wasaidizi....
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hapo hatendewi haki mwanamke
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ni kwel mnachoka...
  lakini mashine lazima ipigwe...
  inabidi kuzungumza na mwenzako...upate muda wakupumzika...
  na km kuna uwezo upatiwe msaidizi wa ndani...
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mama anaamka kupika chai. .Baba anaoga na kupiga mswaki.
  Mama anaandaa watoto. . Baba anakunywa chai.
  Mama aapiga brush vatu vya baba. .baba anasoma gazeti.
  Mama anafagia uwanja. .baba anaaga.
  Mama anakunywa chai. . Baba yuko kwenye foleni.
  Mama anafanya usafi ndani. . Baba anaflirt na secretary akiingia kazini.
  Mama anafua. . Baba anapitia report ambazo hakuandika yeye.
  Mama anawahi sokoni/gengeni. . Baba anapitia contacts zake kwenye simu ajue nyumba ndogo ipi aitoe lunch.
  Mama anapika lunch baada ya kuchemsha maharage. .baba yuko Break Point na Aisha.
  Mama anachukua break ya dakika 10 kabla watoto hawajarudisha fujo nyumbani. .baba anamdrop Aisha ofisini kwake.
  Mama anapokea watoto/wanapata lunch. .baba anaongea na Rosie kujua ampitie saa ngapi.
  Mama anapambana na watoto wasaidie hata vyombo. .baba anafanya kazi kidogo.
  Mama anasalimiana na jirani. .baba anajibu text msg ya Jackie kua hata yeye kammiss sio kidogo.
  Mama anatoka kidogo akamsalimie binamu yake hosp. .baba anafanya fanya kazi kivivu. Secretary kasimama kwa pozi mlangoni maana boss anauliza uliza maswali ya kizushi huku akimvua nguo kwa macho.
  Mama anaanza kuangalia mpango wa jioni baada ya safari ya hosp. .baba yupo "kwenye foleni" na Rosie wake wanaelekea Kona Bar.
  Mama na kazi, kazi na mama. . Baba anakula nyama choma na Rosie huku wakishushia na bia/wine zao maana Rosie yuko mwezini.
  Mama anamwagilia maua na watoto. .baba anamweleza Rosie namna gani anavyompenda na kumwambia 'ile gari yako' itafika soon.
  Mama anakusanya watoto ndani/anawajulia habari za shule. . Baba kajishibia wanajazana maneno ya kimahaba na Rosie.
  Mama anampigia baba simu "chakula tayari baba nanii, niko na watoto tunakusubiria". . Baba "niko na John hapa tunaongea mambo ya biashara. Nyie endeleeni."
  Mama anapakua chakula kinaliwa. . Baba anamkodia Rosie taxi maana 'anawahi nyumbani'.
  Mama analaza watoto. .baba amepita kwa Rehema mara moja kumwachia pesa ya kodi maana ni mwisho wa mwezi.
  Mama anamsubiria baba. . Baba yuko njiani, simu sikioni anamtongoza Angel.
  Mama kachoka. . Baba kafika anasema hana njaa maana John alimlazimisha wale wote.
  Mama anamwandalia baba maji ya kuoga. . Baba anasafisha in/out box na call log.
  Mama anajilaza kitandani kausingizi kanamnyemelea kwa uchovu. .Baba anaoga.
  Mama kapotelea usingizini. . Baba anataka unyumba.

  What a day!!!
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280

  aamke alfajiri kabla ya wote
  awaandae watoto na mume
  afagie nje
  aoshe vyombo
  afagie ndani
  afute vumbi
  apige deki
  apike
  watoto wale wakirudi shule
  apike chakula cha jioni
  afue
  apige pasi
  aangalie mifugo
  homework za watoto nk nk nk
  ahakikishe mume watoto wamekula nk nk nk
  kama mfanyanyakazi akitoka job aanze kuhangaika na kazi za nyumbani


  loh hakuna kama mwanamke....
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  umemaliza....................................
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  lizzy nimekumiss mae...
  huu mtiririko ni mzuri asee...ungepaswa uwe uzi binafsi...
  malizia basi baba kaomba unyumba....mama katoa bilia ushorikiano...mgogoro ndoani...
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Mnachoka na nini sasa?kukaa saloon kusuka nywele na kusuguliwa kucha na wale jamaa?manamake ya siku hizi ni mavivu sana kazi zote anaachiwa housegirl,yenyewe kazi ni kuchongoa mdomo na kujiremba, mnakera sana wanawake wa kileo.
   
Loading...