Siku ya wanawake duniani vita dhidi ya wanaume! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya wanawake duniani vita dhidi ya wanaume!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Paul Kijoka, Mar 5, 2012.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Naamini kuwa wanawake wanahitaji kuwa na haki sawa na wanaume ila si kwa jinsi ninavyoona mimi hii ni vita
  kati ya wanaume walio kimya na wanawake wanaotumia majukwaa kupambana nasi.

  Mimi nadhani wanawake wanatakiwa kufanya kwa vitendo na si kutumia majukwaa wakati wakifika majumbani wananywea na kutenda tofauti. Moja ya mambo wanayotakiwa kuyafanya ni:
  1. kukataa VITI MAALUM maana wao sio waremavu au watu wenye mahitaji maalum
  2. kukataa aina yoyote ya upendeleo
  3. kufanya kazi kwa bidii
  4. kuwa wajasili kwa kutii sheria na kuwajibisha yeyote anayewaadhalilisha
  5. kupunguza majukwaa na kuwa na mikakati
  6. kufika vijijini
  7. kukataa kuwa mboga za viongozi waserikali na kutumiwa
  8. etc
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Ujumbe ulikuwa ni 'vita zidi ya ukatili'
   
Loading...