msaada pliz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada pliz

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bodachogo, Mar 4, 2012.

 1. b

  bodachogo Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  imekuwa kama gundu coz nakubaliwa na nisiowapenda lakini ninaowazimia hasa kati ya 10+ niliowatongoza walinitosa,kasoro mmoja tu ambaye after a year mambo yakaharibika,
  Yaani sijielewi mpaka nimesitisha kabisa kutongoza ,nateseka tu na upweke . Nifanye nini coz hata sielewi wapi nakosea coz makosa niliyofanya zamani nimerekebisha lakin sifanikiwi. Sijiamini tena hata kuanzisha maongezi na demu ninayempenda cwez tena. Kama ungeweza kuongea nami ana kwa ana ,ungejua kwa kiasi gani niko katika maumivu kiasi cha kutamani mapenzi yasingekuwepo kabisaaaaa katika hii dunia coz ndo tatizo la msingi kabisa kwangu.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  pole sana.

  Hakuna kitu kizuri katika mapenzi kama 'likizo ya mapenzi' hasa yanapokuwa yamekuchanganya.
  Pumzika, ujitambue, utambue mapungufu yako, utambue unachokitaka.

  Kutokea wasichana 10, afu useme wote unawapenda, siamini hilo. Unawatamani tu.
  Usitake kuukimbia upweke kwa kuanzisha mahusiano mapya ambayo si ya kudumu.
   
 3. S

  SI unit JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kweli. 10+?? Hapo angesema aliwatamani ningeelewa!
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kama vipi amua kuwa single tu maishani.... mbona inawezekana bana
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dah mapenzi mapenzi
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kaogee maji ya bahari  ..........

  Inategemea na unavyowatokea, unavyojipresent na aina ya wasichana unaowataka....
   
 7. S

  SI unit JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Aende utawa!
   
 8. b

  bodachogo Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kama ni uamuzi wa hiari lkn sio kwa sababu ya kukataliwa
   
 9. Rada

  Rada Senior Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inaelekea unafanya kazi ya kutongoza tu! 10+ huna kazi zingine? Chukua mmoja kati ya waliokubali, mchagua nazi.....
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nenda kwa babu bana,labda ita saidia.
  But remember,...
  HIV is Real and It's Around
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  He must be 16years old.
   
 12. b

  bodachogo Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni ndani ya kipindi cha kama miaka mitano hiviii.....nina kazi nyingine na niko busy na pia lonely when it cmz to love
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tunapaswa kushukuru kwa kila jambo! mkuu use that opportunity, maisha si membesi kamaudhaniavyo!
   
 14. b

  bodachogo Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  i m old enough even to start a family,I m 25+
  It seemz 2b funny lkn najua me mwenyewe kiasi gani naumia kiasi ambacho nahisi labda niko tofauti na vijana wengine my own analysis shows kuwa i m just like other guys na in some areas like academics more than many of them(i hv gud grades ) ,lakin why me kwenye mapenz ndo nikose furaha kabisaaa,i mean furaha not raha coz raha ata kwa kahaba utapata naamini ktk mapenz and not just sex...
   
 15. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Awakukubari kwa sababu huna mapenzi ya kwli.10+??
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Okey,...
  do you enjoy seducing women?
  I mean,hakuna kazi ngumu kwangu kama kutongoza
  how do you enjoy it?
  Na your sure kwamba kila unae mwambia "I love you" unakuwa una mpenda kweli?
  Really?

  Comedown,sio lazima uwe na mtu saivi,tuliza akili yako na examine unataka mtu
  wa aina gani maishani mwako ndo uanze kumtafuta,unako elekea siko kabisaa
  labda kama mwisho wa siku kuna tuzo ya "mtongozaji bora"
   
 17. b

  bodachogo Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitamwonyesha vp nina mapenz ya kweli ?
  10+ coz huyu akikataa namchomekea mwingine ambaye moyo umedondoka ,huwezi kung'ang'ania sehemu ambayo umeambiwa haupendwi ,sikutaki,hunifai nk,ndo maana unaona 10+,kwa hulka I seem to be a nice boy any lady can trust....
   
 18. b

  bodachogo Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Currently i do nt enjoy it ,cz i always feel insecure
   
Loading...